Lenatuschacha
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 36
CRD is the best than other banks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Better you give the comparison with other banks,which 'll enable anybody to choose the best bank based on the given benefits.CRD is the best than other banks
Mh.tutanachotaka kujua ktk mikopo ya benki ni hikiBank zote zinafuata masharti kuwa ni lazima 1/3 ya mshara wako baada Kodi, hifadhi ys Jamii inabaki kwa ajili ya familia. Zaidi ya hapo hakuna Afisa Utumishi anaweza ingiza makato hayo! Kwanza Posta, pili crdb na nmb ni mwisho
Tangu uzi uanze hadi leo crdb ana point nyingi
So crdb ndio bank bora ya kuchukulia loan kwa wafanyakazi
Kigezo, inabidi utupe Kigezo maana wengineo wanasema kwamba Tanzania Postal Bank wapo vizuri sanaCRD is the best than other banks
Kigezo, inabidi utupe Kigezo maana wengineo wanasema kwamba Tanzania Postal Bank wapo vizuri sana
Miaka 6×12= miezi 72, 72×257,728.04= 18556418.9 hii riba mbona kubwa sana.=========================================================================== Kwa maelezo yako hapo juu tofauti ya riba ipo kama ifuatavyo:-
1. Tsh. 11,300,000/- kwa miaka 6 na makato ya Tsh. 257,000/- kwa mwezi ni sawa na riba ya 18% kwa mwaka/per annum au 1.5% kwa mwezi.
2. Tsh. 9,500,000/- kwa miaka 6, kwa makato ya Tsh. 251,000/- kwa mwezi ni sawa na riba ya 24% kwa mwaka au 2% kwa mwezi.
Note: Viwango vya mkopo ulivyotaja ni tofauti kama vinavyoonekana hapo juu (Bolded)
- Hivyo kwa uwiano sawa wa viwango vya mkopo makato ni kama ifuatavyo:-
4. Tsh, 11,300,000/- kwa miaka 6 na riba ya 18% au 24% itapelekea makato ya Tsh. 257,728.04 (18%) au 297,493.19 (24%)
5. Vivyo hivyo Tsh. 9,5000,000/- itapelekea makato ya Tsh. 216,674.02 kwa riba ya (18%) au Tsh. 250,104.89 kwa riba ya 24%
Hope umeona tofauti.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
===========================================================================Miaka 6×12= miezi 72, 72×257,728.04= 18556418.9 hii riba mbona kubwa sana.
Ni bonge la uzi nimevuna mengi. Ila bado sijapata jibu nikope crdb au nmb au posta.
Mimi nataka nikope nijenge angalau kajumba ka vyumba vitatu sebule dining jiko na stoo. Je mkopo wa JIJENGE wa crdb utanifaa au nisawa na mikopo yao mingine?
Mfanyie haina tatizo mkuu kama kaumbwa na maumbile madogo hata akikaa na govi lake hakuna kitakacho badirika ni kujidanganya tu.Duuuh mi nataka nimkate sahivi ana mwaka
Ni kweli mkuu hasa maloan officer wa pale kisarawe yaan wako very slow watu sita mnashinda mmekaa siku nzima bado jamaa hawamalizi kuwahudumia, kiukweli mnaitia hasara benk mnatoa huduma hafifu kiasi kwamba benki inapoteza wateja kwa ajili yenu na uzembe wetu.NMB wasumbufu Sana. Maloan officer wanaringa, wasumbufu na wanapenda kuachiwa hela kidogo. Watabakia na wafanyakaz wachache Sana kwasababu hawataki kubadilika kuendana na ushindani wa kibiashara. Mtu unakopa ila unanyanyaswa unadhan unaomba msaada.
Mtu akikopa mil 9 kwa miaka 6 makato yanakuwa kiasi gani mkuuMikopo mizuri ya wafanyakazi ipo Benki ya Posta.
pia kuna mikopo kama:
- YA VIKUNDI, just cha watu 5-10
-SACCOS
-VICOBA
-WASTAAFU wa PSPF,PPF,NSSF,GEPF,LAPF
-WAFANYAKAZI
-YA ELIMU KWA WANAOCHANGIA PSPF na GEPF
-YA KUANZA MAISHA KWA WANAOCHANGIA PSPF NA GEPF
-BIASHARA KUBWA
-BIASHARA NDOGO NDOGO
Pia,
mikopo ya wafanyakazi inatolewa hadi miaka 6 na kwa wastaafu hadi miaka 4
Riba zao ziko chini sana yaani wafanyakazi ni 13 kwa waajiri wazuri na 15 kwa waajiri wanaochelewesha makato.
Tembelea tawi la Benki ya Posta lililoko karibu kuthibitisha haya.
Hivi hayo makato wanakata kila mwezi hadi miaka sita iishe!?nilienda kuuliza bank mbili juzi. nikaanza na crdb wakaniambia kwa salari yangu maximum watanipa 11,300,000 kwa miaka 6 na watanikata 257,000. nikaenda nmb wakaniambia maximum watanipa 9,500,000 na watanikata 251,000. Kimsingi hakuna tofauti za riba