- Thread starter
- #121
Hoja ni kwamba umeshindwa kujibu swali langu la kunitajia Nchi iliyopata maendeleo Kwa kutegemea wajinga mfano wako bila.kuwekeza kwenye Elimu.So acha kujikanyaga kanyaga.
Pili Ukisikia neno Capital unaelewaje? Unayajua mawanda yake?
Mwisho hata ujenge Barabara sijui vitu gani kama una watu mbumbumbu wewe ni useless na inamwaga maji kwenye net,ndio maana sio tuu madarasa na vyok vinajengwa Bali Kila Mkoa kunajengwa Chuo Kikuu au Tawi la Chuo Kikuu Kupitia Mkopo wa WB kupitia mradi wa HEET
View: https://www.instagram.com/reel/C73nSbdswGw/?igsh=MTl6eTUxZmU1MDc4Yg==
Acha kujitoa ufahamu,
Nilichosema ni kuwa shule na matundu ya vyoo yajengwe kutokana na ushauri wa masokoni na kwenye majiji,
Mikopo iingie kuleta mitaji kwenye mzunguko wa wananchi, faida kidogo Toka halmashauri na majiji ndio ikusanywe ikajenge madarasa na vyoo mashuleni.
Kuna shule mijini Zina vitegauchumi, frames zimejengwa kuzunguka shule nzima,
Cha kushangaza, mkurugenzi anasubiri Pesa ya mkopo kujenga madarasa!!
Nimekumbuka najibizana na ChoiceVariable katika I'd ingine, kwaheri!!