Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Usipende kujikita kwenye petty issues za typing error hii sio thesis

Wenzako wanajikita kwenye mambo ya msingi na sio typing error
huwezi chukua credit kwenye typing error maisha sio marahisi hivyo
Visibility na feasibility? ni ngumu sana kwa hayo maneno mawili kuingiza ishu za typing error... rekebisha hapo usiendelee kuaibika zaidi. Hayo ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.
 
Achana na vithread vya kijinga kwani nani hakopi.Acha kuchafua mtu ambaye hawezi kujibu wala hasikii upuuzi wenu
Alipokuwa hai alikuwa anakubali kuhojiwa?
 
Visibility na feasibility? ni ngumu sana kwa hayo maneno mawili kuingiza ishu za typing error... rekebisha hapo usiendelee kuaibika zaidi. Hayo ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.
Dunia ya leo unakomalia petty issue kama hiyo kazi tunayo hongera
 
Tunajenga Kwa pesa zetu kumbe mikopo Mwanzo mwisho

View: https://www.instagram.com/p/C22tR-ULiIf/?igsh=cmFreWt6b3oxem1x
 
Teh!teh!, bado hamjasema😆
Mlishashindwa kabla hata hamjaanza,time will tell.
Magu hatochafuka kwa propaganda, watanzania wa sasa sio wajinga.
 
Hivi unajua maana ya legacy unajua kuna nchi zinateseka kwa sababu ya maamuzi ya mtu mmoja
Magufuli lazima atajwe sababu alikua ni moja ya marais wa hovyo
Kwa hilo,sikubaliani na wewe.
Samia kafanya nini sasa!
Sina uhakika sana,ila nijuavyo, raisi kama raisi,hawezi kuchukua maamuzi bila kushauliana na badhi ya watu. Hakulupuki kama mnavyofikilia
 
Kwa hilo,sikubaliani na wewe.
Samia kafanya nini sasa!
Sina uhakika sana,ila nijuavyo, raisi kama raisi,hawezi kuchukua maamuzi bila kushauliana na badhi ya watu. Hakulupuki kama mnavyovikilia
Magufuli alaikua hashauriwi mbona ilikua wazi
 
Magu mwenyewe alikuwa mpigaji na fisadi vile vile kama walivyo wanaccm wote.
 

Bwawa likianza kazi, tutahitaji muda gani kulipa hiyo mikopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…