Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Pole sana, ila hapo ni bahati mbaya kwa kupata gari bovu. Ungepata safi na biashara ikachanganya usingejuta.
Kiukweli kuna mkopo mzuri unaokulipa na kujilipa wenyewe na kuna mkopo mbaya unaokufilisi.
Usichoke kwenda bank kama umeona fursa
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Na wewe ulifuata nini huko,hivi hamjue kwamba mikopo ni day time robbery and slavery,ngoja wawakomeshe.Kweli usichokijua ni usiku wa giza.
 
Nilipenda na kutafuta maelezo ya kitaalamu kama haya. Mimi siyo mchumi ndiyo maana nimeuliza. asante. So can I take this confortabl
Angalia lugha ya
Nichumu Nibebike said: Nilkuwa namfikiraga kama mtu wa maana kumbe!
Kama hutaki kuibiwa, acha kukopa.
Njaa zako ndio zimekufanya ukakope. Hukushikiwa bunduki.
 
Pole sana, ila hapo ni bahati mbaya kwa kupata gari bovu. Ungepata safi na biashara ikachanganya usingejuta.
Kiukweli kuna mkopo mzuri unaokulipa na kujilipa wenyewe na kuna mkopo mbaya unaokufilisi.
Usichoke kwenda bank kama umeona fursa

Ndio, kuna mikopo inayolipa, kama kukopa na kumalizia ujenzi, unapangisha halafu kodi inalipa pesa za mkopo.
 
Na wewe ulifuata nini huko,hivi hamjue kwamba mikopo ni day time robbery and slavery,ngoja wawakomeshe.Kweli usichokijua ni usiku wa giza.
Umelogwa na lugha chafu! Nakuacha kwa leo
 
Pole sana, ila hapo ni bahati mbaya kwa kupata gari bovu. Ungepata safi na biashara ikachanganya usingejuta.
Kiukweli kuna mkopo mzuri unaokulipa na kujilipa wenyewe na kuna mkopo mbaya unaokufilisi.
Usichoke kwenda bank kama umeona fursa
Sio gari bovu. Lilikula mzinga. Sikuwa na bima kubwa.
 
Mnapoenda kukopa Bank muwe mnauliza details zote na kuomba ufafanuzi vizuri. Ule mshawasha wa kupata hela usiwatoe ufahamu.

Ndio maana kipindi kile Vodacom wanapigia chapuo hisa zao, tangazo lao lilikuwa linamalizia na slogan ya "mambo ya fedha/hisa yana changamoto nyingi. Tafadhari pata ushauri wa kitaalamu" or something..
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta

Ni worth au sio worth INATEGEMEA NA: BUSARA YAKO NA UMASKINI WAKO!
 
WALA SIJUI RIBA ZAO, NA SIJUI KAMA NITAKUJA KUKOPA MIMI... huu ni UUAJI
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Kauli ya "unalipa riba ya 81%kwa miaka 6" ni kauli tata.

Unamaanisha nini? Kiasi ulicholipa riba kwa miaka 6 ni 86% ya pesa ulizokopa? Au umetozwa riba ya 86% kuanzia mwanzo wa mkopo?

Hayo ni mambo mawili tofauti.
 
HUYU hajielewi, ana stress zake ZA MKOPO, ambao aliweka saini mwenyewe! UKITAKA KUMWELEWA ATAKUJA KUKUTUKANA BURE
 
HUYU hajielewi, ana stress zake ZA MKOPO, ambao aliweka saini mwenyewe! UKITAKA KUMWELEWA ATAKUJA KUKUTUKANA BURE
Mimi nishajitukana mwenyewe kablayeye hajanitukana kwa kumuuliza swali, kwahiyo usihofu mimi kutukanwa.
 
We JAMAA UNA matatizo, KUA MTU ALIKUTUMA KUKOPA?
Ukijibu kunya nitakujibu hivyo hivyo! Ukijibu lugha ya staha nitakujibu lugha ya staha! Siajaleta mada hii kuonewa huruma and actually what I did is to make an inquiry and that is what I discovered! I wanted views from some people with economics background in banking to discuss if at all it makes sense to take such a loan! Wewe unaleta matusi! kejeli, dharau! I will treat you accordingly without mercy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…