Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
DCB wana riba 17% flat rate! ukichukua 10M kwa miaka mitano umarudisha 18.5MDuh!
wakati NMB wana riba ya 18% wao ni reducing unarudisha 15.4M
DCB kama bayport wezi hatareee! me nahamia PBZ mdebwedo maisha yanaenda! huku ukichukua 10 unarudisha 14 miaka 5