Mikopo ya online: Rais Samia wachunguze Mkurugenzi Mkuu TCRA, Gavan BOT na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Mikopo ya online: Rais Samia wachunguze Mkurugenzi Mkuu TCRA, Gavan BOT na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Hv hua mnasoma vigezo na masharti kabla ya kukopa?
 
Hv hua mnasoma vigezo na masharti kabla ya kukopa?
Kuna kigezo cha kumtangaza mtu kwa kusambaza taarifa kuwa amekopa kwa watu wasiohusika?Watanzania acheni kuwa wajinga kwa kutetea ujinga na huu uhuni.
 
Mwigulu asipojibu hio hoja kwa kusema tukupuuze tujue kishapata habari ya utumbuzi hivyo hajishughulishi.
 
Wasitumie umasini na shida za watu kama njia ya kuwanyonya na kuwadhalilisha.
Wananchi wengi hawajui hata wajibu wa serikali wanayoiweka madarakani. Kwa hili la mikopo mitandaoni serikali imeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kukwepa jukumu lake la msingi. Huwezi kuwaacha wananchi walio desperate kiasi hiki wakitapeliwa kila kona. Huku kuna makanisa uchwara, ukigeuka huku kodi na tozo kila kukicha, upande mwingine makampuni ya kinyonyaji ya mikopo. Mwisho wa siku ni jamii iliyojichokea na kukata tamaa
NB: Jukumu kuu la serikali ni kulinda usalama na kuhakikisha ustawi wa watu wake.
 
Hv hua mnasoma vigezo na masharti kabla ya kukopa?
Acha kutetea huu ujinga na uzembe wa serikali katika kuvisimamia hivi vikampuni uchwara. Nenda hapo Rwanda tu kama utakuta huu uzembe na upumbavu wa serikali. Tena viongozi wa serikali ni wahusika wa hizi kampuni. Kinachofanyika ni uhuni na ubinafsi mkubwa wa vyombo vyetu vya usimamizi.
Kuna nchi viongozi wake wanawaheshimu sana wananchi wake, huwezi kuta hata hawa manabii uchwara wanaowaibia wananchi pesa kila kukicha. Huku viongozi wa serikali wakishiriki kwenye hizo ibada zao uchwara.
 
Na sisi WAJIBU wetu ni kujiepusha na vitendo vilivyo viovu eti kwa sababu ipo Serikali ya kutusaidia wakati na sisi tuna wajibu wa kujilinda dhidi ya Uhalifu.
Otherwise labda kama kuna syndicate mahala...🤣🤣😇😇
Hoja yako ni dhaifu sana, kama ni hivyo serikali haipaswi kuwepo na iwaachie wananchi majukumu yake, kila mmoja ajilinde na kujisimamia mwenyewe. Serikali ndiyo yenye mechanism nzima ya kucontrol ujinga wote huu na kuhakikisha wananchi wako salama. Vyombo vyote vya usajili, usimamizi nk. viko chini ya serikali.
 
Wewe kopa ukitarajia kiongozi aje kukusaidia wakati wa kudaiwa. Utangoja sana
Hivi hata mmeelewa mleta mada ana hoja gani? Mnajua hata maana ya REGULATORY AUTHORITIES? Kwamba kazi ya TCRA hasa ni nini,, mnajua?

Ingekuwa hivyo mnavyosema basi kila kitu kisingekuwa na mamlaka za kusimamia, tusingekuwa na TCRA, TRA, RITA...nk
 
Acha kutetea huu ujinga na uzembe wa serikali katika kuvisimamia hivi vikampuni uchwara. Nenda hapo Rwanda tu kama utakuta huu uzembe na upumbavu wa serikali. Tena viongozi wa serikali ni wahusika wa hizi kampuni. Kinachofanyika ni uhuni na ubinafsi mkubwa wa vyombo vyetu vya usimamizi.
Kuna nchi viongozi wake wanawaheshimu sana wananchi wake, huwezi kuta hata hawa manabii uchwara wanaowaibia wananchi pesa kila kukicha. Huku viongozi wa serikali wakishiriki kwenye hizo ibada zao uchwara.
Kuna kigezo cha kumtangaza mtu kwa kusambaza taarifa kuwa amekopa kwa watu wasiohusika?Watanzania acheni kuwa wajinga kwa kutetea ujinga na huu uhuni.
Ndo mana mm nmeuliza je hua mnasoma vigezo na masharti yao au mnakimbilia kukubali tuu, je vp kama kutangazwa ipo ndani ya masharti yao mtamlaumu nani?
 
Ndo mana mm nmeuliza je hua mnasoma vigezo na masharti yao au mnakimbilia kukubali tuu, je vp kama kutangazwa ipo ndani ya masharti yao mtamlaumu nani?
Huna haja ya kuuliza kama hujui kuwa hakuna sheria inayoruhusu hicho kinachofanywa na hao wahuni. Hata riba zetu zote ziko regulated, anayesimamia hayo ni vyombo vya serikali na si mwananchi mmoja mmoja. Hizo riba na taratibu zingine nyingi tu ni kinyume na sheria zetu.
 
Back
Top Bottom