Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu. Jaribu kutafuta connection na hao hao waliofanikiwa nawe utatoka tu kimaisha wala hata usiwe na papara hata kidogo.
Kuna kipindi nilipitia kama unayopitia ila mwisho wa siku mambo yalienda tu vizuri. Kilichokuwa kinaniboa na kuumia ni pale wazazi walipokuwa wakinipigia simu kuniambia kuhusu mafanikio ya vijana tuliokuwa nao pamoja na kufika mbali zaidi na kunilaumu kuwa nachezea pesa kwa sababu siendi kujenga nyumbani bila kujua hali nilikuwa nayo na nilikuwa napitia nini kwa wakati huo.
Kila nilipowapigia simu ni kulaumu na kunitupia vijembe bila kujua kwa wakati ule nilikuwa napitia nini katika pambano la kuukimbia umasikini.
Kwa vile nilikuwa napenda amani ya moyo wangu na afya ya akili yangu niliwablock katika simu yangu ili kulinda afya ya akili yangu. Mambo yalipokaa sawa nikawafungulia. Sikuwablock kwa nia mbaya bali ukiona kitu kinaharibu afya ya akili yako ni bora ukakaa nacho mbali maana usipofanya hivyo utapata depression au stress bure.
Matajiri wengi duniani ni college drop out
Mwanangu wee kama mimi asee 😂💪😂[emoji2][emoji2] af kwa kuwa ulikuwa kipanga darasan, ukafaulu kila unaekutana nae anajua una bonge la kaz pahara lazma aulize, wengine masnich tu anajua kila kitu bt anakuuliza makusud akutibue.
Mie naamin kufanikiwa kupo tu, Kama sio leo kesho.
Mie nmekuwa nkipata Hera tatzo haztunzik, zkija ndio macho yako yanaona vi Heineken na nyama choma. Nmeamua kukatilia mbali kila aina ya starehe nione ndan ya mwaka ntakuwa wapi?
tupo mkuu huku, tumejikausha vibaya.[emoji846]Mwanangu wee kama mimi asee [emoji23][emoji123][emoji23]
Robert kiyosaki ameliongelea sana jambo hili kwenye kitabu cha "Be rich & happy",
Na ameelezea kwa nin wasomi wana mafanikio ya kawaida ukilinganisha na drop out students
Pia, cha msingi uendelee kupambana kwa bidii na uzidi kumuomba mungu akusaidie
Lakini mwisho wa siku inabidi kumshukuru mungu, kwa sababu yeye ndo anajua kwa nin amekunyima ww na kampa yule
Mkuu huwezi amini asee nikikosa hela nakuwa mzee wa mipango miji ila nikizipata tu gari langu linajua kabisa huyu chizi leo ataniendesha vibaya 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] siku utakuta linapata tu hata hitilafuMkuu huwezi amini asee nikikosa hela nakuwa mzee wa mipango miji ila nikizipata tu gari langu linajua kabisa huyu chizi leo ataniendesha vibaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ume nichekesha sanaa, maana hapo pub zotee una hudhuria after week wese liter mbili mbili 😂😂😂😂😂Mkuu huwezi amini asee nikikosa hela nakuwa mzee wa mipango miji ila nikizipata tu gari langu linajua kabisa huyu chizi leo ataniendesha vibaya 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] siku utakuta linapata tu hata hitilafu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile 😂😂😂😂😂
Kusoma ndio njia ya uhakika na sahihi kwa mafanikio kwa sisi tuliotoka familia masikini japokuwa kila kitu anapanga mungu, mimi nina mjomba wangu alisoma IT bachelor alikaa kitaa miaka minne ila alikuja kupata ajira ndani ya muda mfupi alinunua gari, kiwanja (kajenga mpaka kwenye linta bonge lajumba) ana mke na watoto kiufupi yupo vizuri kwa hyo ndugu yangu usikate tamaa mungu kila mtu kamuwekea njia yake katika maisha ya kufanikiwa.
just move on every thing will be ok