Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi.

Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi.

Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga mapicha akipigiwa salute.

Mpango wa rais Samia kuwaridhisha wazungu kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara kwa wanasiasa imetimia ili avute mkwaja mamtoni.
 
Yani nyomi lote hili pichani bado unadiriki kusema kwamba hakuna positive impact yoyote mkuu?

Shukuru Mungu Lisu hapa amepata maelfu katika mkutano wake, mwenzake Zito anazurura tu kama muuza chupa za maji mtaani bila mafanikio yoyote.
 
Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    110.2 KB · Views: 3
Hivi hizo pesa zinazotumika ni ruzuku pekee yake au kuna namna huyu mwenyekiti anawezeshwa either na Mabeberu au CCM ?
 
Mwenyekiti anawezeshwa na serikali ya CCM. Kumbuka uanzishwaji wa vyama vingi nchini kwetu ulikuwa ni wakimikakati ili nchi yetu iweze kupata misaada mbalimbali kutoka Ulaya na Marekani.

Hivyo basi kila kinachofanyika katika vyama hivyo ni kiini macho. Na akitokea mtu ambae atataka kulichukulia swala la vyama vingi serious kama afanyavyo Lisu basi hawezi kupewa uongozi wa chama husika, na pia hawezi kupewa muda wa kusikilizwa zaidi ya kubwabwaja yeye mwenyewe akichoka atakaa kimya.
 
We "green guard" hivi huwa huchoki tu kuleta pumba zako humu jamvini kila siku kuhusu Mbowe ama CDM!? Najua gubu linakufukuta moyoni baada ya kesi ya mchongo ya ugaidi kubuma na sasa unashuhudia muitikio chanya wa wananchi katika elimu ilitolewayo kwa umma juu ya katiba mpya.
 
Yani nyomi lote hili pichani bado unadiriki kusema kwamba hakuna positive impact yoyote mkuu?

Shukuru Mungu Lisu hapa amepata maelfu katika mkutano wake, mwenzake Zito anazurura tu kama muuza chupa za maji mtaani bila mafanikio yoyote.
We kenge kweli hilo ndio nyomi..?🤣
Wacha nisiseme kuhusu stage!
 
We kenge kweli hilo ndio nyomi..?🤣
Wacha nisiseme kuhusu stage!
Mkuu siku hiyo watu walikufa kwa kukanyagana hapo mkutanoni. Kila mtu alitaka kumuona huyo m'belgiji mweusi anaepanga kugombea uraisi kwenye nchi yetu.

Au wewe siku hiyo ulikuwa kwenu Malawi? 🤣🤣🤣
 
Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi.

Mwamba ameruka na chopa mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi.

Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga mapicha akipigiwa salute.

Mpango wa rais Samia kuwaridhisha wazungu kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara kwa wanasiasa imetimia ili avute mkwaja mamtoni
Wewe kweli ni msenge. Kamanda gani likuma kama wewe? Tupe hiyo takwimu yako tuone kama unachoongea sio shudu mbwa wewe
 
Katika makosa viongozi Huwa wanafanya ni kung'ang'ania madaraka, kiukweli madaraka ni matamu sana lakini kunamuda lazima uachie wengine kwa maslahi ya chama au nchi. Andaa watu wengine ili chama kiwe endelevu hata kama utatoweka duniani. Kwa mfano CCM walijua kabisa kwa upande wa Zanzibar Maalim Seif atawasumbua sana ila siku akitoweka duniani hatotokea tena kwa urahisi mtu wa kuwasumbua. Kosa ni la Maalim Seif angalipaswa kutengeneza vijana wenye ushawishi kama wakwake ili ht akitoweka kama alivyotoweka upinzani ungekuwa na nguvu bado, kwa Sasa sidhani kama ccm itapata changamoto km alivyokuwepo Seif. Same to Mbowe ni muda aandae mbadala wake sio mpaka ajifie na chama
 
Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi.

Mwamba ameruka na chopa mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi.

Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga mapicha akipigiwa salute.

Mpango wa rais Samia kuwaridhisha wazungu kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara kwa wanasiasa imetimia ili avute mkwaja mamtoni
Dada pumzika siasa huwezi
 
Unaandikaga mada za kipumbavu mnooooo! Wewe ni mpumbavu, unajua namna ya kupima IMPACT? Unafikiri ni maandazi haya? Narudia wewe una mada za kipumbavu sana
 
Yani nyomi lote hili pichani bado unadiriki kusema kwamba hakuna positive impact yoyote mkuu?

Shukuru Mungu Lisu hapa amepata maelfu katika mkutano wake, mwenzake Zito anazurura tu kama muuza chupa za maji mtaani bila mafanikio yoyote.
Umeshaambiwa hiyo mikutano yote haina impacts zaid ya kupiga kelele na kuwaongezea credits wanaCCM kuwa wameboresha demokrasia, or otherwise hakuna mabadiriko yoyote ya kikatiba wala kisiasa yanaweza kutokea bila wanaCCM kuamua, mtapiga kelele sana, lkn bila hao wenyenchi kuamua ni kazi buree..

Wapinzani Wangekuwa na akili wangekubaliana tu na madam presidaa awagawie majimbo hata 10 wazame bungeni wapate kifuta machozi kuliko kuforce maji kupanda mlima[emoji23].

Siasa za Bongo ni takataka.
 
Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi.

Mwamba ameruka na chopa mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi.

Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga mapicha akipigiwa salute.

Mpango wa rais Samia kuwaridhisha wazungu kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara kwa wanasiasa imetimia ili avute mkwaja mamtoni
Katiba mpyaaa katiba myaa katiba myaaaa. Ndio wimbo wao Kila mahala waendapooo.
 
Back
Top Bottom