Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

Chadema mnajisumbua ,Tanzania hii bila hivi hupati kura watu watakaa kukushangaa ila ukweli utapigwa .
Mkono mtupu haulambwi.
 
Weww ni pumbavuuu
 
Mpuuzi wa CCM kama wewe tunakupuuza tu
 
Ndugu Kamanda Mchovu,naona usingizi umekuzidia kapunzike irudi baadaye 🤔
 
Yani nyomi lote hili pichani bado unadiriki kusema kwamba hakuna positive impact yoyote mkuu?

Shukuru Mungu Lisu hapa amepata maelfu katika mkutano wake, mwenzake Zito anazurura tu kama muuza chupa za maji mtaani bila mafanikio yoyote.
Hakuna unachokijua, picha hizo ni kwa ajili ya wazungu ili walete hela
 
Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga mapicha akipigiwa salute.
Tunataka kujua na tuone invoice za matumizi ya operation hii, na risiti za Efd za matumizi yote ya gharama za uendeshaji wa operation. Lengo tuone kama Kodi stahiki za serikali kama zinalipwa. Pia tuone kama matumizi halali ya ruzuku na michango ya kadi za wanachama wa Chadema na wafadhili wéngine kama yanatekelezwa.
===
Kurusha povu ruksa!
 
Hela zote kazipakata Mbowe. Unaambiwa hata supu ya Makongoro analipa mwenyewe na CHENJI anasubiri hata kama Chopa limeshawaka
 
This crap must have come from a low mind.
 
Huyu green guard anayejiita Kamanda Asiyechoka, kwa kweli ni mtu ambaye siku zote hajauchoka ujinga. Siku zote hoja zake zimejaa ujinga. Hajauchoka ujinga ila amechoka sana kwenye uwezo wa akili.
 
Kama unao utashi wa kuelewa, japo wa kiasi kidogo ungekuwa mtulivu.

Mtu yeyote mwenye akili japo kidogo huwezi kutamka kama hiyo mikutano ina impact au la! Mtu mwenye uelewa hufikia conclusion kwa kuangalia indicators of success. Kwenye hili, imdicators of success ni zipi? Namna nyingine, kwa watu wenye akili ukaleta hoja kama hii halafu ukafikia conclusion aliyofikia mleta mada, unajua kabisa hii hoja imeletwa na mtu ambaye au ni mwendawazimu au mtu ambaye hana uelewa wowote zaidi ya kujua Kuandika, Kusoma na Kuhesabu.
 
Mlisema chadema haitapata watu kwenye mikutano yake, lkn leo mmbadilika eti 255 haijaleta impact kwenye chama...weee kaaa kwa kutulia huko kwenu ccm achana na chadema isije kukutoa mavi
 
Hivi hizo pesa zinazotumika ni ruzuku pekee yake au kuna namna huyu mwenyekiti anawezeshwa either na Mabeberu au CCM ?
Umeshindwa kuhoji mapesa yalivyo pigwa kupitia riport ya CAG,unaanza kuhoji ziara ya Mbowe.
 
Mambo anayozungumza yanahitaji uwe mwelewa na ukiwa na ukata wa uelewa

Huta mwelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…