Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

Unasemaje Halima Mdee?
 
Yani nyomi lote hili pichani bado unadiriki kusema kwamba hakuna positive impact yoyote mkuu?

Shukuru Mungu Lisu hapa amepata maelfu katika mkutano wake, mwenzake Zito anazurura tu kama muuza chupa za maji mtaani bila mafanikio yoyote.
Huyo ni Haliama Mdee mwenyewe
 
Kwani ww kama mwanachama umekuwa na impact Gani ?
 
Acheni wivu wa-ki-kijins*a, mbona kuna walioruka na ndege kuhamasisha sensa na hamkusema kitu
 
Wee fuatilia ziara za comred chongolo kule iringa! Mamb ya CDM waachie wana CDM! Yaan agongwe mwingine halafu ukojoe ww!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…