Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara?
Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k
Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza kutembea. Hii ni uvunjifu wa katiba ya JMT.
Imeruhusiwa tu ili kuonyesha mama yupo vizuri. Lakini kumbe anataka awasaulishe watu juu ya maovu ya serikali yake.