Mikutano ya hadhara inayokiuka ibara ya 30 ya JMT ni ubatili wa kisiasa. Imeruhusiwa ili kupoza malalamiko ya ufisadi unaotamalaki nchini

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara?

Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k

Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza kutembea. Hii ni uvunjifu wa katiba ya JMT.

Imeruhusiwa tu ili kuonyesha mama yupo vizuri. Lakini kumbe anataka awasaulishe watu juu ya maovu ya serikali yake.
 
Kuna police, mtungi na uchama dola bila mabadiliko hapa tutarudi kule kule.
 
Kuzuia mikutano ya vyama siyo kukiuka Katiba?!
 
ikiwa unakereka sana, hama nchi
 
Mikutano ya hadhara ni hadi mkuu wa kaya aridhie, sio kufuata kanuni, sheria na katiba za kaya. Kaya hii ina safari ndefu!!
 
πŸ‘‡πŸ‘‡
...kikundi hiki haramu Cha Magufuli supporters., Kimefilisika akili. Hawajawahi kuwa na akili na hawatopata akili, hivyo ni watu wa kuwazoe na tunapaswa kuwachukulia Kama "wapuuzi wa taifa".
😁😁
 
Hizo ndiyo propaganda mfu alizokurithisha yule dhalim aliyefyekwa na corona
 
kuna watu wamekereka sana kuona uwanja wa siasa kuwa sawa. ndiyo hawa nimewaambia wahame nchi kama imewauma
Hawa ni mavi ya yule dhalim aliyeko kuzimu, wanapenda kuona watu wanaokotwa kwenye sandarusi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…