Mikutano ya hadhara ya wapinzani inafanyika Zanzibar, wakati Tanganyika imezuiliwa. Je, Rais Samia ana double standard?

..Na kwa taarifa yenu migogoro ya kisiasa ya Zanzibar Rais SSH amekua akiishughulikia.

..Raisi amewahi kukutana na viongozi wa ACT Zanzibar kusuluhisha sintofahamu iliyotokea ktk uchaguzi mdogo uliofanyika Pemba.

..Matokeo ya mkutano wa Raisi na viongozi wa ACT, ni kujiuzulu, kwa sababu za "kifamilia", kwa mgombea wa CCM aliyekuwa ametangazwa mshindi wa kiti cha ubunge.
 
Zanzibar safari hii itaimeza Tanganyika. Dalili zote ziko wazi.

Hivi Tanganyika ilishawasilisha kero ngapi za Muungano na ngapi zimepatiwa ufumbuzi, kuna anayejua hili kwa usahihi?

Kama bado Tanganyika haijawahi peleka kero zake za Muungano, ni wakati mwafaka ziwasilishwe ili zipate ufumbuzi.

Mojawapo ya kero hizo itakuwa ni Tanganyika kuongozwa na mtu toka nchi nyingine ambaye si raia wake.

Haya mambo tunaweza kuyachukulia mzaha mzaha, lakini ndiyo hivyo tena, sioni Muungano ukiimarika.
 
..Tanganyika haiwezi kuwasilisha kero za muungano kwasababu haina serikali yake yenyewe.

..Ila nakubaliana na wewe kwamba koti la muungano linaweza kutubana hivi karibuni.

..Nimesikia fununu kwamba ule mkopo tuliopewa na benki ya dunia nusu ya fedha zitakwenda Zanzibar.
 
Wengine tunaanza kuzeeka na majukumu ya maisha yanatuita JF inabakia kuwa kiwanja ya kizazi kipya and career politician and associated fields kama journalism.

Atuwezi kufanya kazi za usalama wa taifa mitandaoni.

Ina maana wahusika awaoni future problems ya religious conditioning inayofanywa na ACT wazalendo huko visiwani ya hao watoto kuchanganyiwa dini na upande kuchagua wa siasa.

Surely dufu alifundishwi mashuleni wala na walimu wa kawaida katika shule za serikali, ata huko pemba.

Kama una akili timamu lazima ujiulize watoto wote hao wamejifunzia wapi kuchanganya dini na siasa, ata kama ni madrasah wote hao awatoshi chuo kimoja.

Lazima ujiulize watu wote hao wamejifunzia wapi hizo nyimbo za kusifu chama kwa nyimbo za dini.

It’s a third world na usalama wa nchi ni ovyo kweli kweli.
 
..kuna hii hapa ya CCM nadhani utaipenda zaidi.

..CCM ndio waasisi wa kuchanganya dini na siasa.

Kuna tofauti ya dua ata wewe unaweza muombea Mbowe atoke salama,that is not a problem huyo mtoto kumuombea dua Magufuli.

Psychological conditioning is a different beast, it involves corruption of mind to associate life style and promoted values in an attempt to corrupt minds at a large scale.

Hiyo video yako ya mapokezi ya makamu wa kwanza huko visiwani unaweza ifananisha na NAZI propaganda at their early days; sasa chakujiuliza hayo mambo yanafanyikia wapi.

That’s not something which will be taken lightly in western society (conditioning) especially when it is associated with political views.

Ndio maana nikasema it third world politics; wala sishangai kwa watu ambao propaganda za kuufanya mwenge uonekane significant na kuutumia kuunganisha jamii awawezi.

Sitegemei hao watu kuona agenda iliyonyuma ya hiyo mental corruption.

Nitumie nafasi kukuaga mkuu, my life in social media is coming to an end for good. This time it’s for real.
 
..usifumbie macho uharibifu unaofanywa na CCM kupitia CHIPUKIZI , JESHI LA AKIBA, na JKT.
 
CCM sio chama cha kidini wala ethnicity wanachama wake wanadini tofauti, rangi tofauti na utamaduni tofauti.

CCM kama taasisi kamwe akiwezi mpangia mwanachama wake namna ya kukiombea mema chama; lakini akiwezi promote agenda ya mtu mmoja mmoja ata huyo Magufuli masheikh wake na mapadri wake ilikuwa huko huko lakini sio kwenye mikutano rasmi ya CCM.

Watu wanaofanya siasa za brainwashing kama hizo ni CDM na ACT wazalendo (ila hii ya leo ni kiboko na lazima ni Pemba tu).

That is unacceptable kuchanganya siasa na dini namna hiyo let alone kufanya mikutano ya hadhara kipindi; I have always said this Othman Masoud is an enemy of the state.

Eitherway nikutakie maisha mema kwenye harakati zako za siasa; hutoniona tena after this post; mama yenu ana muda wa kutengeneza documentary kwenye nchi ya matatizo luluki. Kazi kwenu.

My last one nawatakia wanasiasa wote wa pande zote harakati njema na zenye kulinda amani; tunajenga nyumba moja tunatofautiana mitazamo tu it’s been a pleasure.

Enjoyed every moment I was here; kwa sasa ntakuwa msomaji tu 👋👋👋
 
..Na kwa taarifa yenu migogoro ya kisiasa ya Zanzibar Rais SSH amekua akiishughulikia.

..Raisi amewahi kukutana na viongozi wa ACT Zanzibar kusuluhisha sintofahamu iliyotokea ktk uchaguzi mdogo uliofanyika Pemba.

..Matokeo ya mkutano wa Raisi na viongozi wa ACT, ni kujiuzulu, kwa sababu za "kifamilia", kwa mgombea wa CCM aliyekuwa ametangazwa mshindi wa kiti cha ubunge.
Act wazalendo ni sehemu ya JMT inayounda Smz.
 
WaZanzibari wanayaweza ,inajulikana wazi kuwa CCM haifurukuti kule Zanzibar na kadili muda unavyokwenda ndivyo MiCCM inapozidi kuweweseka na kufanya mambo ya ajabu ,hadi polisi kwenda kuingia kwenye majumba na kukwiba kalafuu ,ujue ni kifo cha farasi kinatimia. Polisi wameua sana pemba,kwa hili tukio Wapemba wamepata afuweni zaidi.
 
Zanzibar safari hii itaimeza Tanganyika. Dalili zote ziko wazi.

Hivi Tanganyika ilishawasilisha kero ngapi za Muungano na ngapi zimepatiwa ufumbuzi, kuna anayejua hili kwa usahihi?

Kama bado Tanganyika haijawahi peleka kero zake za Muungano, ni wakati mwafaka ziwasilishwe ili zipate ufumbuzi.

Mojawapo ya kero hizo itakuwa ni Tanganyika kuongozwa na mtu toka nchi nyingine ambaye si raia wake.

Haya mambo tunaweza kuyachukulia mzaha mzaha, lakini ndiyo hivyo tena, sioni Muungano ukiimarika.

MaRais Mwinyi sr na huyu jr sio Watanganyika??!!
 
..Tanganyika haiwezi kuwasilisha kero za muungano kwasababu haina serikali yake yenyewe.

..Ila nakubaliana na wewe kwamba koti la muungano linaweza kutubana hivi karibuni.

..Nimesikia fununu kwamba ule mkopo tuliopewa na benki ya dunia nusu ya fedha zitakwenda Zanzibar.
Wajue na kulipa pia si kupokea tu,tena ikiwezekana wapewe mkopo wote Kisha walipe wenyewe si kuongezeana deni la Taifa tu mpaka tunakosa kia huru kama nchi ktk maamuzi yetu
 
Wengine tunaanza kuzeeka na majukumu ya maisha yanatuita JF inabakia kuwa kiwanja ya kizazi kipya and career politician and associated fields kama journalism.

Atuwezi kufanya kazi za usalama wa taifa mitandaoni.

Ina maana wahusika awaoni future problems ya religious conditioning inayofanywa na ACT wazalendo huko visiwani ya hao watoto kuchanganyiwa dini na upande kuchagua wa siasa.

Surely dufu alifundishwi mashuleni wala na walimu wa kawaida katika shule za serikali, ata huko pemba.

Kama una akili timamu lazima ujiulize watoto wote hao wamejifunzia wapi kuchanganya dini na siasa, ata kama ni madrasah wote hao awatoshi chuo kimoja.

Lazima ujiulize watu wote hao wamejifunzia wapi hizo nyimbo za kusifu chama kwa nyimbo za dini.

It’s a third world na usalama wa nchi ni ovyo kweli kweli.
Laah, sijui kama ni staili ya uandishi uliyochagua kuwasilisha ujumbe, kwa maksudi ukafanya ujumbe uwe mgumu kidogo kueleweka, na hasa ukijumuisha na mchanganyiko wa mambo mengi uliyogusia katika mistari hiyo michache!

Hata hivyo, mwenye nia ya kutaka kuelewa ulichoandika atakuelewa vyema.
 
Back
Top Bottom