KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwani ni waTanganyika?MaRais Mwinyi sr na huyu jr sio Watanganyika??!!
Watu wa Zanzibar watachagua waTanganyika wawaongoze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni waTanganyika?MaRais Mwinyi sr na huyu jr sio Watanganyika??!!
Yani katika blunder ambayo Nyerere alikosea ni hili la Muundo wa Muingano...Tanganyika haiwezi kuwasilisha kero za muungano kwasababu haina serikali yake yenyewe.
..Ila nakubaliana na wewe kwamba koti la muungano linaweza kutubana hivi karibuni.
..Nimesikia fununu kwamba ule mkopo tuliopewa na benki ya dunia nusu ya fedha zitakwenda Zanzibar.
Sio vibaya. Ili mradi wakati wa kulipa iwe hivyo hivyo...Tanganyika haiwezi kuwasilisha kero za muungano kwasababu haina serikali yake yenyewe.
..Ila nakubaliana na wewe kwamba koti la muungano linaweza kutubana hivi karibuni.
..Nimesikia fununu kwamba ule mkopo tuliopewa na benki ya dunia nusu ya fedha zitakwenda Zanzibar.
Kwani ni waTanganyika?
Watu wa Zanzibar watachagua waTanganyika wawaongoze?
Mkuu 'kilatha', pamoja na kuaga kwako, lakini hoja uliyoweka hapa ina utata.Kuna tofauti ya dua ata wewe unaweza muombea Mbowe atoke salama,that is not a problem huyo mtoto kumuombea dua Magufuli.
Psychological conditioning is a different beast, it involves corruption of mind to associate life style and promoted values in an attempt to corrupt minds at a large scale.
Hiyo video yako ya mapokezi ya makamu wa kwanza huko visiwani unaweza ifananisha na NAZI propaganda at their early days; sasa chakujiuliza hayo mambo yanafanyikia wapi.
That’s not something which will be taken lightly in western society (conditioning) especially when it is associated with political views.
Ndio maana nikasema it third world politics; wala sishangai kwa watu ambao propaganda za kuufanya mwenge uonekane significant na kuutumia kuunganisha jamii awawezi.
Sitegemei hao watu kuona agenda iliyonyuma ya hiyo mental corruption.
Nitumie nafasi kukuaga mkuu, my life in social media is coming to an end for good. This time it’s for real.
Najua mkuu.Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ni Mtanganyika aliyezaliwa Mkuranga, hivyo kiasili yeye ni Mtanganyika aliyeenda na kukulia zanzibar na akapata Elimu yake huko.
Ni vyema umeaga na kusema utabaki kuwa msomaji, kwa hiyo utasoma utakayokuwa unakumbushwa kwa dhana potofu kama hiyo uliyonayo juu ya CCM uliyoieleza hapa.CCM kama taasisi kamwe akiwezi mpangia mwanachama wake namna ya kukiombea mema chama; lakini akiwezi promote agenda ya mtu mmoja mmoja ata huyo Magufuli masheikh wake na mapadri wake ilikuwa huko huko lakini sio kwenye mikutano rasmi ya CCM.
Najua mkuu.
Lakini si ni raia wa Zanzibar au siyo?
…That is unacceptable kuchanganya siasa na dini namna hiyo let alone kufanya mikutano ya hadhara kipindi; I have always said this Othman Masoud is an enemy of the state…
Utofauti wake na hao wengine ni upi, kwa vile alijitambulisha tu kwamba alitokea Kisarawe? Kwani Mapinduzi hayakumkuta Zanzibar?Aliomba lini uraia wa Zanzibar??--- huyo ni Mtanganyika ndani ya uzanzibar, yeye ni tofauti na Jumbe, Salmin, Abdul wakil, Karume, Shein nk,.
Ninakubaliana na wewe kiasi kikubwa, lakini hebu niulize swali.Tanganyika Hatuna katiba mpya hiyo keroyetu inadharaulika matokeo yake mtu toka nchiyake huko anatuongoza wakati hajui shidazetu vizuri anatuchaguli/anateua atakavyo.
Mtu anahangaika na kero nyiiingi zakwao yetu moja anatuambia tutasubiri...
kimsingi Tz tumekuwa kama mazu... kisa siasa za ujinga.
Hii ndio nchi prezdaa anatoka nchi ndoooogo nyingine nakuongoza lisehemu likuuubwa lisilokuwa nchi lipolipo tuu alafu anapewa nguvu kuuubwa kujiamulia afanyaje fanyaje na vyovyote atavyotaka kufanya hatokaa ashitakiwe!! Kwahivyo hata akikimbizia maendeleo nchini kwake hakuna wakumwambia kitu yoyote. Halafu tunajiuliza kwanini hatuendelei tunasema hatujui!! UJINGA HUU.
Hapana.Yani katika blunder ambayo Nyerere alikosea ni hili la Muundo wa Muingano.
Mkuu 'Joka', nimekuwa nikikwepa kulijibu hili uliloandika kwenye mstari huu.Tanganyika haiwezi kuwasilisha kero za muungano kwasababu haina serikali yake yenyewe
Mkuu 'Joka', nimekuwa nikikwepa kulijibu hili uliloandika kwenye mstari huu.
Kwani nani anakereka na kero, ni serikali au watu (wananchi) wa eneo?
Hata tukisema Tanganyika hakuna serikali, kwani Bunge halipo, si kila uchaguzi tunawachagua wabunge wetu wa Tanganyika ambao hawana mamlaka yoyote kule nchi ya pili, ambako wenzao wa Baraza la Mapinduzi ndio hodari zaidi kuibua hizi kero, sijui sasa tunahesabu ngapi, zaidi ya mia tatu!
Hawa wabunge wetu hawajawahi kuona hata kero moja tu ya kuisemea huko bungeni kwetu?