Nyerere aliua na kuizika TanganyikaZanzibar safari hii itaimeza Tanganyika. Dalili zote ziko wazi.
Hivi Tanganyika ilishawasilisha kero ngapi za Muungano na ngapi zimepatiwa ufumbuzi, kuna anayejua hili kwa usahihi?
Kama bado Tanganyika haijawahi peleka kero zake za Muungano, ni wakati mwafaka ziwasilishwe ili zipate ufumbuzi.
Mojawapo ya kero hizo itakuwa ni Tanganyika kuongozwa na mtu toka nchi nyingine ambaye si raia wake.
Haya mambo tunaweza kuyachukulia mzaha mzaha, lakini ndiyo hivyo tena, sioni Muungano ukiimarika.
NEC ilikuwa haitaki kumuonaAli Kessy alituwakulisha vizuri tu bungeni mkaamua kumnyima kura.
Kwa matumaini kwamba itakuwepo Tanzania.
haya nendaCCM sio chama cha kidini wala ethnicity wanachama wake wanadini tofauti, rangi tofauti na utamaduni tofauti.
CCM kama taasisi kamwe akiwezi mpangia mwanachama wake namna ya kukiombea mema chama; lakini akiwezi promote agenda ya mtu mmoja mmoja ata huyo Magufuli masheikh wake na mapadri wake ilikuwa huko huko lakini sio kwenye mikutano rasmi ya CCM.
Watu wanaofanya siasa za brainwashing kama hizo ni CDM na ACT wazalendo (ila hii ya leo ni kiboko na lazima ni Pemba tu).
That is unacceptable kuchanganya siasa na dini namna hiyo let alone kufanya mikutano ya hadhara kipindi; I have always said this Othman Masoud is an enemy of the state.
Eitherway nikutakie maisha mema kwenye harakati zako za siasa; hutoniona tena after this post; mama yenu ana muda wa kutengeneza documentary kwenye nchi ya matatizo luluki. Kazi kwenu.
My last one nawatakia wanasiasa wote wa pande zote harakati njema na zenye kulinda amani; tunajenga nyumba moja tunatofautiana mitazamo tu itโs been a pleasure.
Enjoyed every moment I was here; kwa sasa ntakuwa msomaji tu ๐๐๐
Samia akiamua kuikalia tanganyika atakaa hata miaka 30. TumelalaZanzibar safari hii itaimeza Tanganyika. Dalili zote ziko wazi.
Hivi Tanganyika ilishawasilisha kero ngapi za Muungano na ngapi zimepatiwa ufumbuzi, kuna anayejua hili kwa usahihi?
Kama bado Tanganyika haijawahi peleka kero zake za Muungano, ni wakati mwafaka ziwasilishwe ili zipate ufumbuzi.
Mojawapo ya kero hizo itakuwa ni Tanganyika kuongozwa na mtu toka nchi nyingine ambaye si raia wake.
Haya mambo tunaweza kuyachukulia mzaha mzaha, lakini ndiyo hivyo tena, sioni Muungano ukiimarika.
Mradi ajue kula na vipofu alionao ndani ya CCM.Samia akiamua kuikalia tanganyika atakaa hata miaka 30. Tumelala