Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

Ndo maana nmekwambia ilitakiwa kulilia maslahi Kwa kada nyingine na sio kulalamika kwanini wengine wanalipwa vizuri
Hoja sio kulipa tuu..
Kwani hujui kuwa kapu la kulipia ndo hilohilo moja..
Wee chungu cha nyama kimoja...wachache wamepakua zaidi ya nusu...wengine wamekosa...akili ya ziada hawa waliokosa wanapata wapi...

Hao wengine wanalipwa vizuri kwa vyanzo gani
 
Katika Hilo kapu wapunge wanachukua asilimia ngapi ya kapu je tukiacha kabisa kuwalipa wabunge tuongezee kidogokidogo Kwa kila anayelipwa vibaya tutamuongezea kiasi gani?
 
Back
Top Bottom