Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

Etienne Tsishekedi (baba wa Rais Felix Tsishekedi wa DRC) alifariki dunia Februari 2017 na akazikwa Juni 1, 2019. Mwili wake ulihifadhiwa mochwari kwa muda wa miaka 2.
Ulimwengu na walimwengu
 
Wa Afrika magharibi wengi ni kawaida yao. Kuna mnigeria alifariki mwezi wa 5, mazishi yakawa mwezi wa 9.
 
Wengi ni kuweka mazingira ya nyumbani vizuri. Kuna ambao kipindi hicho ndio wanajenga au kukarabati nyumba.
Jaman so msiba sio emergency...
Unaweza usubirisha.
Huko mortuary hapajai?
 
Ok Kama Ni nchi kwa hio huyo rafiki ako mmoja umefanya tayari nchi nzima ya Ghana Ni kawaida yao? Hukuuliza asili yake kabila no na sababu zilizofanya hayo ?

Hapa Tanzania watu wanamaliza mwezi inategemea Ni Nani
Kwa kweli hiyo ni kawaida yao kwa maiti kukaa miezi 3 mortuary huku watu wakipanga 'sherehe' ya kumzika mpendwa wao. Hata mimi jamaa Mghana mmoja tulikuwa kwenye course nje ya nchi akawa anatuelezea utamaduni wao huo na sisi tukawa tunashangaa.

Wenzetu wanasherehekea maisha yako pale wanapokusindikiza kwenye makazi yako ya mwisho.

Kuna clips nyingi tu kwenye youtube unaweza kuangalia kuhusu utamaduni wao huu.

 
Duhh sasa wakat anasubiri mazishi bado anaomboleza?? Na anaishije? Au anaendelea na maisha hakuna matanga?
Shughuli za jamii zinaendelea kama kawaida , wanafanya mambo mengine ila ikifika siku za karibu na mazishi ndio wanafanya kila kitu
 
Muda ulotumia kuja kutuuliza humu ungeutumia kumuuliza huyo Rafiki yako
 
Wengi ni kuweka mazingira ya nyumbani vizuri. Kuna ambao kipindi hicho ndio wanajenga au kukarabati nyumba.
Wasanii Psquare wazazi walipofariki kwa nyakati tofauti pia walikaa zaidi ya miezi mitatu
 
Hizo sio mila ni jeuri ya pesa, yaani maisha[emoji41] sio bure
 
Huwa ni sherehe na kuna mgeni rasmi wakati wa mazishi. Kwa kawaida hapo ndipo inaonesha mtu aliyekuja alikuwa na utajiri kiasi gani. Waghana unaambiwa huwa anakula kwa shida na anatunza fedha itakayotumika katika kuomboleza Kifo chake
 
Umewahi kuona kwa wajaluo?
Nao pia wanahifadhi kwa mda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…