The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Watu wa huo ukanda wa Afrika Magharibi ndio taratibu zao.
Kwanza Kuna Boss wetu alikua anatokea Ghana, tulipata taarifa amefiwa na Mama yake Mzazi, kesho yake asubuhi kwenda ofisini mie najua wakati huo Yuko airport anaelekea msibani, nashangaa ametulia kwenye laptop anapiga kazi.
Tokea siku hiyo nikaelewa inabidi kuzielewa taratibu na tamaduni za watu tofautitofauti, piga picha mtu kama huyo unaenda umevimba macho Kwa kulia unaomba ruhusa uende msibani umefiwa na jirani au Mjomba sijui Babu atakuelewa kweli?
Mwingine alikua anatokea Nigeria, Mama yake kafariki na wenyewe walizika baada ya miezi mitatu.