Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

Shukrani sana kiongozi kwa ujazo huuu..marekebisho hapo ni sphinx mdau hapo juu ashaliweka sawa.
Asante kwa marekebisho, maudhui hasa yalikuwa KUHUSU nini kimetokea kwenye PUA yake Sphinx sio JINA lake...
 
I'll kuingia katika sehemu mbalimbali za kihistoria za Siri Kuna (codes)kanuni maalum za kufungua na kufanya mambo mengine humo na hizo kanuni zipo maeneo maalum na ili kufika maeneo hayo unahitaji ramani no
Lakini kizazi jeuri wanaamua kulazimisha na mwisho wa siku kutokea mabalaa na laana
Niishie hapo Kwanza.
 
Hahahahah eti kizazi jeuri..... Liendeleze mkuu
 
Unaposema waligharimu tembo kadhaa sijui vidume 100 unamaanisha nini?
 
Umesahau kuwafahamisha wasomaji wako kuwa sanamu la "The great SPHINX Giza" ambayo liko Egypty,..

Vita vya kwanza vya Dunia Majeshi ya Ufaransa yaliipiga Mabomu Pua ya hilo sanamu ambayo ilifanana na Pua ya Mwafrika ili kufuta ushahidi kuwa Pyramid na vitu vyengine vya kale Egypt vilijengwa na Waafrika..View attachment 1156793
Zunguphobia
 
Back
Top Bottom