Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena walijenga kwa ustadi wa hali ya juu ilihali teknolojia haikuwa ya kiasi hiki... Wasanifu walikuwa wanafanya kazi kubwa mno... Kitu kimejengwa karne nyingi zilizopita ila mpaka sasa kipo na hakijapoteza ubora wake...Kitu kimoja na cha hakika kwenye hii post ni kwamba
Hapo kale ndio kulikuwa na wanaume na Wanawake halisi.... Watu wenye nguvu ya kufanya kazi kubwa zisizofikirika.. Zilizoacha kumbukumbu vizazi na vizazi
Jambo la pili ni kwamba kote huko humioni mzungu ambaye ndio asili ya uharibifu wa wanaume hodari, rijali na wenye nguvu
Kivipi?
Wakati wasomi wetu ndio waliopaswa kufanya tafiti na kujua kuna nini ndani na yaliwekwa na nani ?
Wasomi wanapata mpaka Uprofesa wakiwa majalalani bila kuja na jawabu la matatizo makubwa ya waafrika halafu unalaumu dini zilizokuja na mambo yake na ustarabu waka na hazijamlazimisha mtu azifuate.
Ni sawa na ajira hakuna mtu anayelazimishwa kuajiriwa lakini maisha tu ndiyo yatamfanya atafute ajira.
Ni bora sasa baada ya dini hizi mana angalau hata tunaweza hata kuwa na kinachoitwa nchi yetu na hatuingiliwi na mtu.Okay.
Ila yote kwa yote, hizo dini ndizo source nyingine ya wewe au hao wasomi kufikia hatua ya kuitwa msomi, lkn huwezi kukataa muingiliano wa dini, elimu na uwezo finyu wa baadhi ya waafrika katika kufanya maamuzi kwa manufaa yao wenyewe ni zero.
Kumbe hilo jengo ndio lilimponza Warden wa Fox River kwenye Prison Break, Sir Henry Pope.Ni kweli kabisa mkuu... Very complex building and beautifully at the same time.
Majengo haya yote yamechunguliwa na wataalamu kutoka nchi nyingi tena na tena (isipokuwa kaburi la kaisari wa China lililogunduliwa tangu 1974 tu).Tufanye wote tunatumia literatures za wanahistoria au watunza kumbukumbu mbalimbali ambao wamefuatilia na kugundua kuwa bado mambo mengine hayajapatiwa ufumbumbuzi!
Taj Mahal; hizo secret chambers hajizawekwa wazi kama unavyodai hata serikali ya India haijaliweka wazi hili. Kuna cenotaphs mbili zimekaa kimshazari wengi wanaamini ndio makaburi yao ila kiuhalisia siyo ni sehem ambayo unaweza kuangalia kwa mbali ila huoni kitu. The two secret coffins are in a secret place below the garden level.. In addition people believe may be there can be a big treasure behind those doors. Archaeologists believe that there can be historic documents behind those doors which can change history...
https://www.google.com/amp/s/timeso...o-visit-it-again/amp_articleshow/64635592.cms
The great Sphinx... According to some sources Japanese's are the one's who tried to explore what behind the sphinx but still nothing was yet to be confirmed on the discovered chambers and hidden underground tunnels...
![]()
Ancient Egypt Mystery: Evidence of SECRET HIDDEN door under Sphinx
THE SPHINX contains a hidden door that could lead to a secret underground lair, according to a historian.www.express.co.uk
Kuweka records sawa kuwa lengo langu ni nini.. Wenzetu wapo makini sana kwenye kuhifadhi kumbukumbu zao sana as hizo temple, tombs n.k walikuwa wanazika records, treasures, kwa emperors wao wa kipindi hicho, which can lead us to learn more about ancient traditions tofauti kwetu huku ukifukua kaburi utaambulia mifupa tu.. Ndio maana bado watu wapo curious kuinvestigate kunani nyuma ya hizo temple/tombs.
Ni bora sasa baada ya dini hizi mana angalau hata tunaweza hata kuwa na kinachoitwa nchi yetu na hatuingiliwi na mtu.
Enzi za mababu na dini zao ndio walikua ziro kabisa mana walijawa na hofu na ushirikina mtupu huku wakiwa hawana umoja. Ndio maana Afrika kuna utajiri wa Lugha ,mila na imani tofauto tofauti.Kila ukoo una mila zake na haziingiliani na ukoo mwingine na hata kuona walikua hawaoani.
Kabla ya dini za kigeni kama zinavyoitwa( japo nakataa mana zilikua zetu tukazipoteza wenzetu wakaturejeshea tena) mkurya alikua hawezi kumuoa Mzaramo.
Walikua ni watu wawili tofauti kabisa kiimani,kimila ,kikabila.
Ukabila na ubaguzi ulikua ni mkubwa sana kabla ya dini nzuri za tulizokua tumezipoteza zamani kurejeshwa tena kwetu japo zililetwa na watu wenye mila zao kama wazungu na waarabu.
Tulipaswa kuchukua dini zetu na kuachana naila zao.
Udhaifu wa dini za waafrika baada ya kupoteza dini kwa karne nyingi na kubaki kuishi kwa kukisia tu kuliwafanya Wawe dhaifu mara mia ya watu wa leo ndio maana walitawaliwa na watu wa Chache kabisa.
Anakuja mwarabu mmoja anakubebesha Pembe ya ndovu kutoka Tabora mpaka Bagamoyo huku yeye akiwa amebebwa mabegani na vijana wanne wa Kinyamwezi wenye nguvu Mara nane yake lakini wanamfikisha salama Bagamoyo huku wakiinama na kumlamba miguu kwa shukurani kuwa wamefika salama.
vizazi vijavyo bado na ndio sababu bado siri zinatunzwa!siri hufichwa kwa manufaa ya kizazi kijacho.
sasa kama zinaendelea kuwa siri zina haja gani?
SphinxUmesahau kuwafahamisha wasomaji wako kuwa sanamu la "The great phoenix of Giza" ambayo liko Egypty,..
Vita vya kwanza vya Dunia Majeshi ya Ufaransa yaliipiga Mabomu Pua ya hilo sanamu ambayo ilifanana na Pua ya Mwafrika ili kufuta ushahidi kuwa Pyramid na vitu vyengine vya kale Egypt vilijengwa na Waafrika..View attachment 1156793
Shukrani sana kiongozi kwa ujazo huuu..marekebisho hapo ni sphinx mdau hapo juu ashaliweka sawa.Umesahau kuwafahamisha wasomaji wako kuwa sanamu la "The great phoenix of Giza" ambayo liko Egypty,..
Vita vya kwanza vya Dunia Majeshi ya Ufaransa yaliipiga Mabomu Pua ya hilo sanamu ambayo ilifanana na Pua ya Mwafrika ili kufuta ushahidi kuwa Pyramid na vitu vyengine vya kale Egypt vilijengwa na Waafrika..View attachment 1156793
Vizuri sana.
lla na sisi tunayo masanduku ya mjeremani huko Songea na Mara haijawahi kufunguliwa kuchukuliwa [emoji17]