Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

Karibu sana mkuu[emoji4][emoji4]
Nadhani hii umeingalia Tomb Raider ya Lara Croft... One of the interesting movie and story beneath...
yes nimeiona ile ndio movie pekee ya kizungu nimeiona ya tomb raiding.
zilizobaki nmeziona series za kichina kama mystic nine/ lost tomb/ candle in the tomb
sasa hivi naangalia lost tomb Session 2
huwa napendaga mikasa yao na pia zile ancient things kwasababu napenda historia
 
Perfect.... Nitakukumbuka nikiweka makala nyingine ya historia/mysteries
 
[emoji3][emoji3]Sasa kitu tangu karne hizo kimefichwa mpaka leo kinaendelea kufichwa kinasubiri kizazi kipi?

Kijacho. Kwani umeambiwa hiki ndo kizazi cha mwisho...? Mwaka 6500 watakuja watu kusema miaka ya 2000 walifungua vyumba vitano, cha sita kikagoma ando wataweza wao
 
Kama kuna madini mazuri Kama haya weka mengne tuendelee kujisosomola... Ila ile ya bhutani ilizidi vionjo.... Salute mkuu kwa vitu Kama hivi
 
huwa nawaza katika mihangaiko hata ya kuchimba mtaro,mara paap naufumania msanduku una kufuri kama lote,naubeba navunja nakutana na mavipande ya dhahabu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ni mawazo tu.
 
Kama kuna madini mazuri Kama haya weka mengne tuendelee kujisosomola... Ila ile ya bhutani ilizidi vionjo.... Salute mkuu kwa vitu Kama hivi
Nitajitahidi mkuu.... Niliplan iwe kila weekend ila nitajitahidi niwape vyombo.
 
sehemu nyingi uchunguzi walifanya wao wamisionari na document wanazo, kama hoja ya TODAYS hapo kuhusu songea nasikia wazungu wanaingia kwa kivuli cha kanisa na kujenga mashule au sehemu za ibada lkn wanajua kuna wanachotafuta
Hawakufanya succession plan yeyote. Labda kutuhofia waswahili. Wao wamebaki na siri nyingi vingine wameondoka navyo kabisa.
 
Back
Top Bottom