Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

No2/no3
umenigusa...nnavyopenda movie za Tomb Raiding
Karibu sana mkuu[emoji4][emoji4]
Nadhani hii umeingalia Tomb Raider ya Lara Croft... One of the interesting movie and story beneath...
 
Nje tu ya jiji la Cairo. Nyuma tu ya hilo sanamu kuna mapiramidi matatu likiwepo la yule Farao maarufu Ramses
Akhasante kwa nyongeza mkuu... Ancient Egyptians walijitahidi kuacha historia zao ambazo zimedumu kwa miaka tele.
 
Kumbe sio kwamba hiyo milango yote haijawahi kufunguliwa kabisa.
Hapana mkuu... Mfano case ya SREE PADMANA-BHA-SWAMY TEMPLE ambapo wanadai mlango B ushafunguliwa ila still hakuna tangible evidence kuwa nani aliufungua na kuna nini ndani... Same to that one of the first King of China haujaguswa etc etc...
 
Kuna lakujifunza hapo ahsante MKUU kwa story yenye kufundisha pia umetumia rugha azim ya swahili hongera kwa hilo
 
Back
Top Bottom