mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hii inatufundisha duniani tunapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika vyema sana mkuu, hapo kwenye Taj Mahal, nilipata nafasi ya kutembelea mahali hapo mwaka huu, ni moja kati ya kivutio kikubwa sana huko India, na hilo jengo ni marble haswaa iliyonakshiwa kwa michoro iliyochongwa na wahunzi kwa weredi na ustadi wa hari ya juu.
Kuingia katika hilo njengo, mlangoni mnapewa kama mifuko ya kufunika viatu ili uweze kuingia kwa ndani na kwa juu kabisa ndiko kuna makaburi mawili tu, yaani kaburi la Shah Jahan na mkewe, ! Wakati wa usiku, jengo hilo linang'aa kutokana na vito vilivyonakshiwa kwa utadi. Sehemu hiyo inalindwa sana na wanajeshi wa nchi hiyo. Asante sana kwa uzi mkuu, umefanya nikumbuke mbali.
Yote yamefunguliwa, inajulikana kabisa kuna nini ndani yake.Tuangalie milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa na kujulikana kilichomo ndani yake.
1. THE TAJ MAHAL
2. THE GREAT SPHINX OF GIZA
3. SREE PADMANA-BHA-SWAMY TEMPLE
4. THE FIRST EMPERO'S TOMB
Kivipi?Tatizo la nyie ni Imani zenu mluzoletewa, badala ya kuwa msaada, imani imekuwa mzigo.
Tufanye wote tunatumia literatures za wanahistoria au watunza kumbukumbu mbalimbali ambao wamefuatilia na kugundua kuwa bado mambo mengine hayajapatiwa ufumbumbuzi!Yote yamefunguliwa, inajulikana kabisa kuna nini ndani yake.
- Taj Mahal huwa na makaburi mawili ya Shah Jahan na mkewe Mumtaz
- Sfinksi ni sanamu tu ndani yake kuna matofali yaliyotumiwa kutenegneza umbo lake
- hekalu ya Padmanabhaswamy Temple ina (kama kawaida kwa mahekalu ya Wahindu) sanamu mamia ya miungu mballimbali, hasa za Shiva, lingam yake (sanamu ya mboo wa mungu huyu), ya Sridevi-Lakshmi, Bhudevi, Vishnu na Brahma
- kaburi la Qin Shi Huang nchini China pekee haikufunguliwa bado kamili, lakini unataka kuona nini katika kaburi kuliko mabaki ya maiti? Bila shaka pamoja na mapambo maana mapambo mengi yameshafuguliwa katika mashimo yaliyo karibu na kaburi kuu.
Sehemu hizi nne hazina uhusiano wowote kati yao,
Unataka kusema nini?