ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Fact!HADI KUJIBU UMEELEWA, SEMA UBONGO WA NYUMBU HAUJITAMBUI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact!HADI KUJIBU UMEELEWA, SEMA UBONGO WA NYUMBU HAUJITAMBUI.
Chezea mchaga!Nyumbu hawaoni mbali acha awapige pesa
Ruzuku za CDM ni pesa za walipakodi kachotewa Kineneko Mtei.Hauna maana kabisa..
*ukisema eti ’kodi tanzania’ unamaanisha kuwa makusanyo ya mapato yanapelekwa Chadema?Nini uhusiano wa mapato kusanywa(kodi) na Chadema wewe?
*Hiyo ni miradi yao binafsi na si Fedha za ‘ruzuku ya vyama’ kama inavyotazamwa hapa...siyo kama “chama cha kijani” kinachotegemea vijisenti na wahisani kujiendesha..
Unacheza na shemeji weye.. haha.Ruzuku za CDM ni pesa za walipakodi kachotewa Kineneko Mtei.
Kwanza naomba kwa heshima na taadhima, admin msiunganishe uzi huu na mwingine.
Ndugu wanajukwaa, kama wote tupendavyo, juhudi za kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ni endelevu na popote pesa hizo zinapokwenda sisi watozwa kodi lazima tuhoji.
Nimeona uzi huku ndani
Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!
unaozungumzia ripoti ya CAG kwa mwaka 2016/17ambayo pamoja na mambo mengine inazungumzia pesa zilizolipwa M/S Milestone International Co. Ltd kiasi cha 866,600,000. Kumbuka malipo haya ni kwa mwaka mmoja wa 2016, hatujui miaka mingine ya nyuma, na 2017 na 2018.
Nilichotaka kuonyesha ni kuwa kampuni hii mmiliki wake ni Freeman Mbowe, na Managing Director ni Shemeji yake wa kike aitwaye, Kineneko Mtei mdogo wake Dr. Lilian Mtei, mke wa ndoa wa Freeman Mbowe.
Kwanza hapa kuna mgongano wa maslahi na harufu ya rushwa, haya machache ni kwa mujibu wa ripoti ya msajiri pale penye mashaka, kwa kweli CHADEMA kuna ufisadi, otherwise wangeweka wazi ripoti yao ya fedha wazi tuone matumizi yao kwa ujumla na wanaofaidika na kulipwa pesa hizo.
Jina (Kineneko Mtei) tu limembeba kufanya biashara na chama cha baba na shemeji yake. Hapo kuna Conflict of interest mkuu,toa vibanzi usoni kama tunataka kurekebisha makando kando toa uchama.Kwa hiyo huyu shemeji wa Mbowe hana uwezo wa kufungua Kampuni au kila mtu ambae ndg yake au shemeji yake anafanya siasa basi huyo mtu hatakiwa kabisa kufanya Biashara mana mtasema ni za huyu ndugu.
Hivi hii nchi mbona ina watu wapuuzi namna hii?? Mtei alikua Gavana kweli alishindwa kusomesha mtoto aweze kufungua Biashara kweli?? Tumieni akili kuwaza kusaidia nchi mnawaza upuuzi tuuuuu
[emoji1] [emoji1] kabisa mkuu.Unacheza na shemeji weye.. haha.the
Kwaiyo CDM wanaiga?dada tungeanza na ufisadi wa fisadi linalohonga madiwani ingependeza zaidi .
hili lina maumivu mara 2..
kuhonga kodi
kurudia chaguzi
Ndio vile vile mnavyo tetea ujinga wa kujizulu na kugombea tena,huku mabilion ya pesa yakiteketea.Subiri uone watakavyomtetea Mbowe. CHADEMA kama sikio la kufa, hawajiulizi ni kwanini chama kimekuwa katika madeni yasiyoisha wakati hata ofisi hakuna. Kuwa na deni siyo dhambi ila madeni ya CHADEMA fedha zinaenda wapi? Ofisi hakuna, kila siku wanachangishana kulipia nini sijui? Na hapo hujataja zile fusso chakavu walizouziwa.
Majitu mengine sijui akili ziko sehemu gani?Subiri uone watakavyomtetea Mbowe. CHADEMA kama sikio la kufa, hawajiulizi ni kwanini chama kimekuwa katika madeni yasiyoisha wakati hata ofisi hakuna. Kuwa na deni siyo dhambi ila madeni ya CHADEMA fedha zinaenda wapi? Ofisi hakuna, kila siku wanachangishana kulipia nini sijui? Na hapo hujataja zile fusso chakavu walizouziwa.
Bila kusahau walitaka kuwaingiza raia choo cha kike kwa mtaji wa michango na matibabu ya TL! Mchaga noma! Jamaa hatari sana huyu, bado tetesi ya kuuza chama kwa mzee EL, bado fedha zinavyotoka na kutumika bila rekodi, ila jamaa kawapata kweli, sishangai hawamuondoi, chama ni chake, binafsi, cha familia, atakayepiga kelele asishangae yatakayomkuta, rekodi zipo kwa waliofanyiwa unyama..Subiri uone watakavyomtetea Mbowe. CHADEMA kama sikio la kufa, hawajiulizi ni kwanini chama kimekuwa katika madeni yasiyoisha wakati hata ofisi hakuna. Kuwa na deni siyo dhambi ila madeni ya CHADEMA fedha zinaenda wapi? Ofisi hakuna, kila siku wanachangishana kulipia nini sijui? Na hapo hujataja zile fusso chakavu walizouziwa.
Kwaiyo mmeamua kujichotea mapema na nyinyi?Majitu mengine sijui akili ziko sehemu gani?
ATCL nayo anaiongoza Mbowe?
Mbona inanuka madeni?
Serikali nayo inadaiwa zaidi ya tshs.trilion 40 hamlioni hilo mnakesha na hela ya mboga hiyo!
Mkuu,hapa ndipo tofauti ya fikra nyeusi na nyeupe inapotokea..Ruzuku za CDM ni pesa za walipakodi kachotewa Kineneko Mtei.
Na wewe ni zezeta maana pesa unayo sema acha ayapige tu na wewe unachangia kupitia kodi mbali mbali unazolipa.Mbowe anaongoza mazezeta acha ayapige tu! Kazi kusikiliza umbea wa mange
Kachotewa na nani? Kwa kazi gani? Haya ndiyo maswali ambayo mnayakwepa! Mnapiga tu pee peee peeee!!la maana hakuna!Ruzuku za CDM ni pesa za walipakodi kachotewa Kineneko Mtei.