Miliki apartment yako kwa bei za chini kabisa kabla ya tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu. Nipigie uje site

denisi_masoko

Senior Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
195
Reaction score
156
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,

Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.

Unit zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww

ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.

Mfumo wa malipo na discount

Kianzia cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.

Kutembelea site yetu ni bure thnafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni na ni beach kabisa sea view kama zote, karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.

Denis masoko

0743 598 873

Karibuni watanzania fursa ndio hii

Outview 2.jpg
Outview 3.jpg
20260207_145943.jpg
 
Attachments

  • Outview 1.jpg
    Outview 1.jpg
    1.1 MB · Views: 35
  • Outview 4.jpg
    Outview 4.jpg
    1.9 MB · Views: 37
  • 20260207_150012.jpg
    20260207_150012.jpg
    1,021 KB · Views: 37
  • 20260207_150018.jpg
    20260207_150018.jpg
    1.2 MB · Views: 37
  • 20260207_145932.jpg
    20260207_145932.jpg
    990.5 KB · Views: 37
  • 20260207_145850.mp4
    56.3 MB
Picha halisi HAMNA? Nini HIKI Sasa, miladi ya kibongo inajulikana, picha na majengo halisi huwa ni tofauti
 
Sasa malipo Kwa USD kwani tupo america..
Hizo USD tutazipata na sie twaishi Mikese?!
 
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,

Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.

Unit zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww

ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.

Mfumo wa malipo na discount

Kianzia cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.

Kutembelea site yetu ni bure thnafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni na ni beach kabisa sea view kama zote, karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.

Denis masoko

0743 598 873

Karibuni watanzania fursa ndio hii

View attachment 3542571View attachment 3542574View attachment 3542575
Mwalimu mstaafu mwenyewe aliyefanya kazi miaka 30, lumpsum pension hafikishi MILIONI 100.

Hizi DOLLAR 94,000 labda watakatishaji wa pesa.
 
Yaan chumba kimoja siyo chini ya mil 225 na chenj dah?

Kigambon kwenye hewa saf unajenga ghorofa.lako kwa bei hyo kwa maana had kiwanja unapata eneo zur kwa hela hyo

Huu n utapel kama utapel.mwingine
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mradi wenyewe Upo mkoa gani?

Unajua 195000 usd ni shilingi ngapi ya Tanzania?
 
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,

Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.

Unit zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww

ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.

Mfumo wa malipo na discount

Kianzia cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.

Kutembelea site yetu ni bure thnafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni na ni beach kabisa sea view kama zote, karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.

Denis masoko

0743 598 873

Karibuni watanzania fursa ndio hii

View attachment 3542571View attachment 3542574View attachment 3542575
Hi Biashara ya dezaini hi bado sana hapa kwetu, bado kuna vast free land aridhi sio shida, labda kama unatangazia foreigners tuwe realistic mtumishi gani hapa ambae anaweza kufanya malipo ya 250m kwa miezi 20, ili apate chumba kimoja kwenye ghorofa zenu.....duh hizo ni biasjara za kuinga sio kwamba ni applicable kila nchi.
 
😂😂😂 mkipata hata wateja kumi mkatambike,karibu milioni 250 kwa chumba kimoja kwa Tanzania hiyo ni biashara kichaa
 
Samahani blaza maviwanya yalivojaa nchi hii ulipe mil 200 ukapewe chumba kimoja ? KWELI
 
Yaan chumba kimoja siyo chini ya mil 225 na chenj dah?

Kigambon kwenye hewa saf unajenga ghorofa.lako kwa bei hyo kwa maana had kiwanja unapata eneo zur kwa hela hyo

Huu n utapel kama utapel.mwingine
Tena unapata karibu na bahari kabisa, labda wame-target WAZUNGU
 
Mbona hamsemi huu mradi uko wapi? Msoga kwa Kikwete anataka kutakatisha hela aliyoiba?
 
Yaan chumba kimoja siyo chini ya mil 225 na chenj dah?

Kigambon kwenye hewa saf unajenga ghorofa.lako kwa bei hyo kwa maana had kiwanja unapata eneo zur kwa hela hyo

Huu n utapel kama utapel.mwingine
Wapuz hawa

Ova
 
Back
Top Bottom