Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

dar mpo sehemu gani? na utaratibu huo pia mnao kwenye yard ya dar?
 
Tupo mwanza tunakopesha magari kwa kulipa kidogo kidogo
Karibuni sana
Kwa anaehitaji gari tuwasiliane kwa
0742159556
View attachment 430595

Funguka, tuonyeshe general terms and conditions, sio vema mtu afike hapo, avutiwe na gari fulani kisha aingie tamaa kwa sababu ya kuona na ghafulale! Akajiingiza kwenye mkopo ambao hajaufanyia tathmini! Funguka, biashara matangazo. Tangaza kikamilifu, yanini mtu aje kufilisiwa?!
 
Utatanguliza 50-70% remaining balance utalipa kidogo kidogo,mfano gari la milioni 10 utatanguliza milioni 5 au 7 na kiasi kinacho baki utamalizia ndani ya makubaliano maalumu
Tangazo halijakamilika japo ni zuri.
 
Hilux D4-D 2.5 Diesel, Manual 4WD ya mwaka 2010, double cabin mnauza shilingi ngap na advance mnapokea kiasi gani??
 
Kwa Mwanza hatuna hiyo gari,kama tutakubaliana tutakuagizia Japan na kukuletea ulipo
 
Tangazo halijakamilika japo ni zuri.
Man #1 'tell me the truth...Man #2 'you can't handle the truth'

Akidadavua zaidi ya hapo mtasepa, hamtaenda hata walau kwa window shopping.
 
Sawa mkuu, sasa kwa walio nje ya Mwanza, mfano Dar utaratibu ukoje?
Nahitaji kigari kisichozidi 9m.
 
Kwa sasa tunatoa Huduma Mwanza haijalishi unaishi wapi ila sisi ndio tupo Mwanza
 
ukilipa 50%au 70%unalipa balance ndani ya mda gani?dhamana ya kukopa ni nini?jibu haya maswali mawili upumzike!
 
Balance utalipa kulingana na uwezo wako pamoja na makubaliano yetu,dhamana ni gari hilo hilo utaacha card ya gari Mara umalizapo deni kadi itabadilishwa na kusoma jina lako,gari utalitumia bila kuwa na card original na pasi kuwa na jina lako
 
mtu anayefanya kazi serikalini unakuwa na uhakika maana kufukuzwa kwake ni kazi kubwa(japo sio karne hii)private sector mda wowote anatimuliwa mtawezaje kumkopesha mtu huyo?Kwa mfano nahitaji gari la m 8,nalipwa m 2 net nkilipa m 4 hyo 4 utaigawa vipi kulingana na mshahara wangu?so ntalipa kwa mda gani?
 
Back
Top Bottom