Miliki nyumba nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu kabisa

Miliki nyumba nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu kabisa

ONE2ONE FOCUS. CO. LTD
Tunajihusisha na Ujenzi wa majengo na huduma nyingine zinazo husiana na ujenzi mbalimbali

*Makazi na Nyumba za Biashara.
*Magorofa
*Shule
*Godowns
*Uuzaji wa viwanja
*Kama una hitaji huduma ya kuuza ama kupanga nyumba tafadhari tutafute.

Na ishu yoyote inayo husu ujenzi tafadhari usi site kuwasiliana nasi.

Tunajenga na kusimamia Ujenzi wa jengo lako kuanzia hatua za awali, Msingi na mpaka finishing, tuna kukabidhi nyumba yako ikiwa kamiri.

*Tunafuatilia kibari cha ujenzi na kukuchorea Ramani ya jengo buree.

*Tunafanya design ya majengo mbalimbali pamoja na interior design.

*Tuna andaa BOQ/ ama makadirio ya ujenzi wa jengo lako kwa gharama nafuu kabisa.

*Mtindo wa malipo yetu ni CASH, malipo yanafanyika kwa njia ya awamu tatu au zaidi kutokana na hali ya mteja mwenyewe na makubariano ya kwenye mkataba.

*Katika kila hatua ya ujenzi tuna kupa uhuru wa kuja kufanya ukaguzi kujiridhisha ma maendeleo ya ujenzi.

*Nyumba zote tunazo jenga zinakuwa chini ya uwangalizi wetu kwa muda wa miaka mitatu( 3) kwa ajili ya kufanya marekebisho madogo madogo ya hapa na pale bila gharama zozote kutoka kwa mateja.

Karibu ONE2ONE FOCUS. CO. LTD Tafadhari "tupe nafasi tujenge Nyumba ya ndoto yako anza sasa anza na kidogo ulicho nacho, anza na ONE2ONE FOCUS CO. LTD" .
Office zetu zipo MAKUMBUSHO COMPLEX STAND YA DALADALA,
Wasiliana nasi kwa namba hizi kwa taharifa zaidi
0782 291213 calls only
0629 780506 calls&watsup.
Tembelea kwenye website yetu Www.one2onefocus.com
Au tufuate kwenye akaunti yetu ya instagram
@one2one_focus_limited

View attachment 841613View attachment 841614View attachment 841615View attachment 841616View attachment 841619View attachment 841620View attachment 841621View attachment 841622View attachment 841624View attachment 841626View attachment 841627View attachment 841628View attachment 841629View attachment 841631View attachment 841632

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu hiyo picha ya mwisho ghorofa ni vyumba vingapi vya kulala?ujenzi wake ni shilingi ngapi?
 
Mkuu ahwa jamaa kwa Experience nilikua kua kwenye Group Lao Moja ivii watu walilizwa so be warned
@Al-Bashr pole ndugu yangu kama ulikuwa ni mmoja ya watu walio lizwa, hapa kwetu tuna fanya kazi professionally, kampuni yetu ime sajiliwa kisheria na tuna saini mikataba ambayo ita tubana tusipo timiza ahadi yetu, so usiwe na wasiwasi kama utapata muda karibu ofisini kwetu upate taharifa zaidi....! Trust na good work ethics ni vitu tunavyo viheshimu,...! Tuna linda brand ya kampuni yetu na njia pekee ya kulinda huko ni kutimiza kile ambacho tumehaidi na tukasaini mkataba wa uwazi na ukweli na mteja wetu....! Aksante na kari bu One2one focus. Co. limited give us the chance to build your dream house.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so usiwe na wasiwasi kama utapata muda karibu ofisini kwetu upate taharifa zaidi....!
Karibu ofisini kwetu tuzungumze
Mkuu ungetoa japo dokezo, utakuwa umewasaidia wengi, Tazama hadhira ilivyo kubwa, hutokosa watu japo 20 tu watakao hitaji huduma toka kwako.
1534911240485.png

Mfano kwa nyumba ya 35M, mnaanza kujenga kwa advance ya kiasi gani?

Funguka zaidi, ongezea ongezea nyama, kuwa hata na case study ya nyumba mojawapo, ili mtu aje ofisini kujaza mkataba tu na sio kutafuta taarifa ambazo unaweza kabisa kuziweka hapa.
 
Mkuu ungetoa japo dokezo, utakuwa umewasaidia wengi, Tazama hadhira ilivyo kubwa, hutokosa watu japo 20 tu watakao hitaji huduma toka kwako.
View attachment 843654
Mfano kwa nyumba ya 35M, mnaanza kujenga kwa advance ya kiasi gani?

Funguka zaidi, ongezea ongezea nyama, kuwa hata na case study ya nyumba mojawapo, ili mtu aje ofisini kujaza mkataba tu na sio kutafuta taarifa ambazo unaweza kabisa kuziweka hapa.
@Mwl. RCT kweli unachosema ndugu, kwa utaratibu wetu wa malipo mteja anaza kutanguliza 50% then itafuata 30% na wakati wa kukabidhiana jengo na yeye kujiridhisha na kazi tuliyo fanya ana malizia 20%.....! Ila huwa pia tuna angalia na pesa ambayo mteja anaweza kuwa nayo kama kianzio kama inaweza kutuwezesha kuianza kazi kwa kasi ambayo tume muhaidi mteja kama tulivyo sainishana kwenye mikataba
50% =17,500,000/=
30% =10,500,000/=
20% = 7,000,000/=
Kasi ya kazi ita tegemeana na mfuko wa mteja mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Al-Bashr pole ndugu yangu kama ulikuwa ni mmoja ya watu walio lizwa, hapa kwetu tuna fanya kazi professionally, kampuni yetu ime sajiliwa kisheria na tuna saini mikataba ambayo ita tubana tusipo timiza ahadi yetu, so usiwe na wasiwasi kama utapata muda karibu ofisini kwetu upate taharifa zaidi....! Trust na good work ethics ni vitu tunavyo viheshimu,...! Tuna linda brand ya kampuni yetu na njia pekee ya kulinda huko ni kutimiza kile ambacho tumehaidi na tukasaini mkataba wa uwazi na ukweli na mteja wetu....! Aksante na kari bu One2one focus. Co. limited give us the chance to build your dream house.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni matapeli watu wanalalamika mmewapa nyumba mbovu chini ya kiwango wengine mmewaliza hela za viwanja simu hampokei na ofisi mmehamisha nipo kwenye group lenu la One2one. Hamuwezi fanya biashara ya kitapeli afu tukawaacha tu ivii ivii mpige watu hela zao afu mlale mbele!!!
 
Sijui dhumuni lako ni nini...! Sababu najaribu kukuelewesha ila ina onyesha wewe ni. Jamii ya watu flani ambao aki angalia kulia basi ya kushoto hasha muhusu....! Samahani naomba nikuache na mtazamo wako mwenye nia ya kweli ya kufanya kazi na sisi ata tutafuta tumfanyie kazi...! Karibu one2one focus. Co. Ltd kama ukibadiri mawazo yako.

Inawezekana kweli kwamba anawajua na hizo kazi mbovu mnazowafanyia watu amejuaje kwenye biashara za kujenga nyumba hayo yapo kujenga chini ya kiwango material duni nk, kumbuka kujenga sio kujaribu. mkuu pesa nyingi inatumika

Lengo alngu ni kutahadharisha watu wasiingie chaka. Kwa sunia ya sasa hivi usidhani unaweza fanya upuuzi wako afu ukapotea ukarudi kivingine ukadhani hautajulikana. Narudia Tenaa nyie ni Matapelii
Sikujui hunifahamu lakini kama unatenda ndivyo sivyo lazimaa nisemee na kukemeaa
 
Una uhakika kama hatupokei simu....? Una uhakika tume hamisha ofisi na haipo makumbusho complex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika kama hatupokei simu....? Una uhakika tume hamisha ofisi na haipo makumbusho complex.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia hivii nipo kwenye Group lenu najua watu wanavolalamika kupigwa na hua nahisi maumivu yao. Yani mtu anakupiga hela afu cm hapokei aisee inaumaa sanaa. Huwezi kulikwepa hili mkuu jipangeni achane ubabaishaji wa kishambaa
 
Inawezekana kweli kwamba anawajua na hizo kazi mbovu mnazowafanyia watu amejuaje kwenye biashara za kujenga nyumba hayo yapo kujenga chini ya kiwango material duni nk, kumbuka kujenga sio kujaribu. mkuu pesa nyingi inatumika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ayo mambo yapo lakini si kwa kampuni yetu, kazi zetu zina tegemea wateja progressively sasa niki haribu kazi ya mteja si nitakuwa najiharibia bland yangu mwenyewe...? Kuonyesha huyo mtu ni muongo amesema hatupokei simu au tume hamisha ofisi...! Wewe kwa muda wako jaribu kupiga hizo namba kama hazitapatikana au kupokelewa na kama una ishi dar es salaam kwa muda wako pita makumbusho complex na utazikuta ofisi zetu...! Labda kama kuna watu wame tumia jina la kampuni without our knowledge na kumtapeli jamaa....! Tuna saini mikataba inayo tubana kutokana na kazi tuliyo fanya na nyumba inakuwa chininya uangalizi wetu kwa muda wa miaka mitatu iyo ni security tosha kuwa tuna hakika na tunacho fanya...! Matapeli wapo ila sisi si wamoja wapo na kwa sababu kamouni yetu ina tambulika kisheria basi nadhani mpaka sasa tungekuwa na kesi nyingi dhidi yetu....! Kila kauli ni ya kuingalia kwa jicho la tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nyumba ulizoweka ndio za 35mil
Kila nyumba ina gharama yake kutokana na idadi ya vyumba itakavyo beba na complexity yake ila.
Kiujumla

Nyumba 2 rooms = 32 millioni
3 rooms = 54 millions
4 rooms = 65 millions
5 rooms = 74 millions

Ghorofa

2rooms =120m
3rooms =250m
4rooms =300m
5rooms =320m
6rooms = 360m
Ingawa gharama zina ongeleka/nigotiable kwa kutambua hali ya mteja....! Karibu one2one focus. Co ltd....! Aksante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom