Miliki nyumba nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu kabisa

Miliki nyumba nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu kabisa

Ayo mambo yapo lakini si kwa kampuni yetu, kazi zetu zina tegemea wateja progressively sasa niki haribu kazi ya mteja si nitakuwa najiharibia bland yangu mwenyewe...? Kuonyesha huyo mtu ni muongo amesema hatupokei simu au tume hamisha ofisi...! Wewe kwa muda wako jaribu kupiga hizo namba kama hazitapatikana au kupokelewa na kama una ishi dar es salaam kwa muda wako pita makumbusho complex na utazikuta ofisi zetu...! Labda kama kuna watu wame tumia jina la kampuni without our knowledge na kumtapeli jamaa....! Tuna saini mikataba inayo tubana kutokana na kazi tuliyo fanya na nyumba inakuwa chininya uangalizi wetu kwa muda wa miaka mitatu iyo ni security tosha kuwa tuna hakika na tunacho fanya...! Matapeli wapo ila sisi si wamoja wapo na kwa sababu kamouni yetu ina tambulika kisheria basi nadhani mpaka sasa tungekuwa na kesi nyingi dhidi yetu....! Kila kauli ni ya kuingalia kwa jicho la tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni matapeli. Ushahidi ninao mmemliza mtu viwanja na Kukimbia na milioni mia mbili.
 
Kwa Ujenzi wa Nyumba Kama Hii Nzuri Yenye Ubora yenye Urefu wa Mita 18 Kwa Mita 12 Unahitaji Kiasi Cha Tsh Milion 55 tu Kwa Ajili ya Kumiliki Nyumba Kama Hii Tuwasiliane Kwa Namba Hizo chini Kwa Ushauri Mbalimbali wa UJENZI wa Nyumba za Makazi Mfano Ghorofa na Nyumba za Kawaida Pamoja na Nyumba za Biashara ,Mashule

Tupigie kwa:-

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
0738-885806(TTCL Call)

ONE2ONE FOCUS TANZANIA

ONE2ONE FOCUS TANZANIA LTD

MAKUMBUSHO COMPLEX STENDI JENGO LENYE ATM YA CRDB(Floor ya Kwanza)

Tunajenga na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

NB;Tunajenga Kwa Malipo(Cash) na Sio Kwa Malipo ya Mkopo.

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: http://one2onefocustanzania.co.tz/ @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania

Karibu sana ofisini kwa ushauri na Kazi za UJENZI

Tunajenga Ujenzi wa Kuanzia Hadi Tsh Milion 20 na Kuendelea

Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya JuuView attachment 890394View attachment 890395View attachment 890396
Acheni utapeli
 
Jihadharini na hii kampuni hasa huyo Eng Mackregon Rweyemamu
Sorry kwa changamoto kiongozi. Ili tuwe makini zaidi tunaomba uweke mkeka jinsi hii kampuni inavyo tapeli.

Asante




Kazi ni kipimo Cha utu
 
Back
Top Bottom