Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, kiwanja ni cha mteja mwenyewe sisi tutahusika kwenye kusimamisha jengo tu.Hizo bei ni pamoja na kiwanja?
Poa mie muongo ila nishawapa watu Warning mapemaaa nmenawaa....Ayo mambo yapo lakini si kwa kampuni yetu, kazi zetu zina tegemea wateja progressively sasa niki haribu kazi ya mteja si nitakuwa najiharibia bland yangu mwenyewe...? Kuonyesha huyo mtu ni muongo amesema hatupokei simu au tume hamisha ofisi...! Wewe kwa muda wako jaribu kupiga hizo namba kama hazitapatikana au kupokelewa na kama una ishi dar es salaam kwa muda wako pita makumbusho complex na utazikuta ofisi zetu...! Labda kama kuna watu wame tumia jina la kampuni without our knowledge na kumtapeli jamaa....! Tuna saini mikataba inayo tubana kutokana na kazi tuliyo fanya na nyumba inakuwa chininya uangalizi wetu kwa muda wa miaka mitatu iyo ni security tosha kuwa tuna hakika na tunacho fanya...! Matapeli wapo ila sisi si wamoja wapo na kwa sababu kamouni yetu ina tambulika kisheria basi nadhani mpaka sasa tungekuwa na kesi nyingi dhidi yetu....! Kila kauli ni ya kuingalia kwa jicho la tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wetu huwa hatutaki kumpoteza mteja anapo tufata kwa ajili ya kazi ndo mana hapo chini nikasema hizo bei zina kuwa na maelewano ambayo mwishowe kila mmoja sisi na mteja tuna kuwa katika mazingira ya kuridhika....! Kazi zetu ni za uhakika sanaa na kuhakikishia hivyo.Basi bei kubwa bora mtu ajenge yeye
Mwalimu nadhani hapa ndipo watanzania tunapoteleza kidogo, kuweza kuweka taarifa za kutosha zinazokidhi haja za mteja.Mkuu ungetoa japo dokezo, utakuwa umewasaidia wengi, Tazama hadhira ilivyo kubwa, hutokosa watu japo 20 tu watakao hitaji huduma toka kwako.
View attachment 843654
Mfano kwa nyumba ya 35M, mnaanza kujenga kwa advance ya kiasi gani?
Funguka zaidi, ongezea ongezea nyama, kuwa hata na case study ya nyumba mojawapo, ili mtu aje ofisini kujaza mkataba tu na sio kutafuta taarifa ambazo unaweza kabisa kuziweka hapa.
@kinyau aksante, kwa mchango wako, nime jaribu kuweka taharifa muhimu sababu najua kutakuwa na maswali madogo madogo ambayo kila mida ninapo pata nafasi najaribu kuyapatia majibu...! Kuhusu vifaa huwa tunatumia material ambayo ni bora kutokana na pesa ya mteja mwenyewe....! Na pia tuna mpa mteja nafasi ya kwenda nasi kuchagua vifaa ambavyo ata pendelea tuweke wakati wa finishing.Mwalimu nadhani hapa ndipo watanzania tunapoteleza kidogo, kuweza kuweka taarifa za kutosha zinazokidhi haja za mteja.
Unapoweka bandiko lako jaribu kujiweka kwenye viatu vya mteja- jiulize ni taarifa gani nyepesi itamfanya mtu afanye maamuzi sahihi. Ila utaona mtu anasema nauza kiwanja bei nzuri (jamna eneo, ukubwa, details nk). Mkuu mwaisabila nagewaza kunyambua kuwa wao kama wajenzi wana take care vitu gani, na mchakato mzima upoje (malipo na wamau zake), phases za ujenzi, vifaa mnanunua pamoja wa choice ya mteja au? kuna vijiswali unaweza viona vua kitoto ila ndivyo hizo intangible zinazo differentiate mfanyabiashara mkubwa na mdogo.
hizi gharama ni kwa Dar na mikoani?nikitaka kujenga kama hiyo lakini iwe na vyumba vinne vya kulala kwa mkoani inaweza kufika shilingi ngapi?asante mkuu@p53: hiyo ghorofa ni ya vyumba vitano na mpaka hapo imegarimu million 320 za kitanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy yet so kaweka profit margin isyopungua 25 percent ya gharama ya ujenzi. So Bora unenge mwenyewe.Basi bei kubwa bora mtu ajenge yeye
Happy yet so kaweka profit margin isyopungua 25 percent ya gharama ya ujenzi. So Bora unenge mwenyewe.
Sija kuelewa unapo sema bora ujenge mwenyewe, una maana una ingia mwenyewe site kuchanganya mchanga na cement...? Kwani kazi tukifanya sisi unakuwa ni ujenzi wa nyumba yetu au nyumba yako...?Happy yet so kaweka profit margin isyopungua 25 percent ya gharama ya ujenzi. So Bora unenge mwenyewe.
Hii ni biashara ndugu, Ninapo tangaza najua sio kila mtu ata nunua au atavutiwa na huduma zetu, kama una ona kwako haikuvutii basi tumia busara na si kuongea / kulopoka ili nawe uonekane tu eti umechangia....! Grow up buddy.
Gharama zetu zipo standard labda kama tuta pata kazi mbali sana ba mjini otherwise gharama zetu zipo standard iwe dar au mkoani, kwa room nne ita kugharimu 300 Millions za kitanzaniahizi gharama ni kwa Dar na mikoani?nikitaka kujenga kama hiyo lakini iwe na vyumba vinne vya kulala kwa mkoani inaweza kufika shilingi ngapi?asante mkuu
Hapana kwa sasa hii huduma hatutoi, tumesha sumbuana sana na wateja kuhusu malipo na bado kuna ishu za kisheria zina endelea mahakamani.Vipi mpo tayari kuijenga nyumba ndani ya mwaka mmoja then niwalipe kidogo kidogo ndani ya miaka 3
POLO1994
Tuliza mshono. PeriodHii ni biashara ndugu, Ninapo tangaza najua sio kila mtu ata nunua au atavutiwa na huduma zetu, kama una ona kwako haikuvutii basi tumia busara na si kuongea / kulopoka ili nawe uonekane tu eti umechangia....! Grow up buddy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sija kuelewa unapo sema bora ujenge mwenyewe, una maana una ingia mwenyewe site kuchanganya mchanga na cement...? Kwani kazi tukifanya sisi unakuwa ni ujenzi wa nyumba yetu au nyumba yako...?
Sent using Jamii Forums mobile app
OkyPoint yangu ni kwamba wewe nyie ni kampuni hivyo lazima mtengeneze faida. So hiyo nyumba ya m35 labda nikisimamia mwenyewe inaweza nigharimu m30.