Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Ndugu zangu hali sio nzuri kiusalama lakini rais trump yuko salama kabisa tuzid kumuomba Mungu . Mtuhumiwa amekamatwa na vyombo vya usalama baada ya kupiga risasi ladhaa wakati rais trump akihutubia. Makamu wa rais nayeye akihudhuria shughuli hiyo yuko salama kabisa. Tukio hilo limetokea kwenye sehemu ile ile ambayo miaka 40 iliyopita rais Reagan alipigwa risasi na kunusurika. Trump is in a secure location, senior administration official says
Kevin Liptak
By Kevin Liptak
President Trump is in a secure location and has told officials that he intends to return to the dinner, according to a senior administration official.

2 min ago

Incident happened at same hotel where Ronald Reagan was shot over 40 years ago
Zoe Sottile
By Zoe Sottile
The security incident that saw President Donald Trump rushed from the stage happened at the same hotel where more than 40 years ago, another sitting president almost lost his life.

Ronald Reagan was shot by John Hinckley Jr. in an attempted assassination while leaving the Washington Hilton on March 30, 1981. He was seriously injured by a gunshot wound that punctured a lung and caused serious internal bleeding An alleged shooter is in custody after shots were fired as US President Donald Trump attended a press dinner in Washington, witnesses and reporters confirm after the president was evacuated.

Loud bangs were heard and guests at the black-tie White House Correspondents’ Dinner scrambled to hide under tables.

Tactical teams with guns drawn took position on the stage where Trump had been sitting before he was evacuated.

Police are swarming the Washington Hilton Hotel where the event was taking place, and helicopters hover overhead.

The pool report says the alleged shooter is in custody, citing the Secret Service.

Both Trump and Vice President JD Vance are unharmed, reports say ata President Donald Trump was swiftly escorted off the stage by Secret Service at the White House Correspondents’ Dinner in Washington, DC, on Saturday.

• Trump and his Cabinet members are safe, sources told CNN.

4 Posts

1 min ago

Trump, cabinet rushed out as suspected gunman reported entering WHCD venue
Zachary Cohen
By Zachary Cohen
The cabinet was evacuated and the scene was locked down, amid a report of a suspected gunman entering the White House Correspondents’ Dinner Venue.

There’s no indication of any more shooters at this time, according a source briefed on the the initial reports from the U.S. Secret Service

Kumuomba Mungu ili Afe au Asife apo ndio hatujakuelewa ?
 
Hao wanausalama walikua wapi wakati muhuni anajipenyeza na silaha ya moto?
Au ni "Inside Job"?
Wenyewe ndio wanausika sema mpangwaji kakosea pati yake lengo limekosewa!

Viongozi Marekani wanawauwa Wenyewe ikionekana unazingua na wananchi wanakupenda✍️
 
Binafsi kati ya watu sitaki matani nao ni PSU wakiwa kazini kwao
 
Trump ataishi maisha ya wasiwasi na mashaka mpaka mwisho utawala wake, hana tena uhuru kama watangulizi wake.
 
Mshambuliaji sidhani kama alilenga kumuua Trump, maana alifyatua risasi Kwa mbali na alipokuwa Trump

Afu shooting US ni kitu Cha kawaida watu wengi Wana bunduki, kumua raisi wa US aliye madarakani aiseee jipange, Toka afe Kennedy Secret service hawataki mchezo
 
Marekani ni tofauti sana na kwetu. Hebu otea ingekuwa Malawi, jamaa angekuwa hali gani?
 
Huyu babu ipo siku watamchapa shaba!
Naona watu ana kiu nae sana. 😁
 
Mshambuliaji sidhani kama alilenga kumuua Trump, maana alifyatua risasi Kwa mbali na alipokuwa Trump

Afu shooting US ni kitu Cha kawaida watu wengi Wana bunduki, kumua raisi wa US aliye madarakani aiseee jipange, Toka afe Kennedy Secret service hawataki mchezo
Kumuua rais wa marekani ni rahisi sana.kama siyo Trump kugeuza shingo lile tukio la kwanza leo hii angekua marehemu risasi ilipita sikioni.au hukuona?
 
Makamu wa Raisi kakokotwa tu kama Pipa, ila Trump amezingirwa left and right 😀.

Kweli President sio matako.
 
Nimeona jamaa wanasema ni Vatican wanamsulubu 😅😅..Ukweli ni kwamba Vatican hawana huo uwezo wala hawana hizo nguvu..

Wanaoitisha USA ni Israel tena Mossada ,hapo jamaa anashtuliwa ili aendelee na mashambulizi..Huyu mzee anaonewa sana
 
Back
Top Bottom