Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

 
Huyu mhuni anatengeneza matukio apate attention.....
 
Nimeona jamaa wanasema ni Vatican wanamsulubu 😅😅..Ukweli ni kwamba Vatican hawana huo uwezo wala hawana hizo nguvu..

Wanaoitisha USA ni Israel tena Mossada ,hapo jamaa anashtuliwa ili aendelee na mashambulizi..Huyu mzee anaonewa sana
😆😁😅🤣😂😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Screenshot_20260426_133730_Facebook.jpg


Jagina mdogoee ELI COHEN Imeloa MK254 Echolima1 Ritz

adriz de mbusii
 
Drama..
For public sympathy....kuna tukio
Linaandaliwa
 
Kwa kifupi tukio linafanyika baadhi ya waalikwa wanaonekana wanampiga sefii Trump na Iphone zao Trump akitolewa kwenye meza kuu.🤣🤣🤣🤣
 
Angekuwa mwarabu angeitwa gaidi.

Angekuwa anatokea Africa sasa hivi Trump angeamka na kufukuza waafrica.

MUNGU fundi sana all in all Trump namkubal coz kuna vitu anatusaidia kujua kwa usahihi zaidi sisi tusioongozwa na mihemko ya dini wala mahaba niue
 
Back
Top Bottom