Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Trump ataishi maisha ya wasiwasi na mashaka mpaka mwisho utawala wake, hana tena uhuru kama watangulizi wake.
Ule wote ni uongo propaganda ile subiri utaona Kuna jambo Lina kuja very soon
 
Ila Trump kuna namna anajua kupangilia drama, Kuna video fulani niliziona za ile kukoswakoswa kupigwa risasi ya kichwa, nikasema hawa jamaa waliandika script vzr mno na ikafanya kazi kwa 100%
 
Donald Trump anawindwa sana na maadui zako ikumbukwe bwana D amenusurika majaribio mengi ya kuuwawa.
Video inaonyesha askari wa usalama wakimtoa kwa haraka japo walianza kwanza kumtoa makamu wa rais akafuate bwana D
Kumbe D muoga vile 😂 😂 hadi ameanguka chini dadek chezea risasi et
 

Attachments

  • Sam-Misago_20260426_2.mp4
    2.2 MB
Huyu mpumbavu hamalizi muda wake lazima azimishwe kenge huyu
========

Suspected gunshots heard at White House correspondents' dinner - Trump evacuated​

Suspected gunfire shots have been heard at the White House correspondents' dinner being attended by Donald Trump.

The US president has been evacuated from the event.

We'll bring you further updates as they come in

CHANZO: Sky News
ndoto za mchana
 
Kama ipo source ya kuaminika iliyo na hiyo taarifa, si uniwekee hapa nisome kujiridhisha.!

Kuna ugumu gani hapo?
Sawa
Ungeeomba kistaarabu hivyo badala ya kuita watoa taarifa waongo
Haya hii hapa ya kiswahili



 
Sawa
Ungeeomba kistaarabu hivyo badala ya kuita watoa taarifa waongo
Haya hii hapa ya kiswahili



Shukrani mkuu.

Hapa sina neno tena 😂
 
Tukio kama hili lingeweza kutokea sana hata huku kwetu lakini kwa bahati mbaya bado hatuna ujasiri japo tuna watawala wa hovyo mno kuliko hao akina Trump.

Pamoja na Trump kukoswa koswa lakini yeye bado hajaua wamarekani tofauti na watawala wa huku wanaoua raia wao kwa maelfu.
 
Donald Trump anawindwa sana na maadui zako ikumbukwe bwana D amenusurika majaribio mengi ya kuuwawa.
Video inaonyesha askari wa usalama wakimtoa kwa haraka japo walianza kwanza kumtoa makamu wa rais akafuate bwana D
Kumbe D muoga vile 😂 😂 hadi ameanguka chini dadek chezea risasi et

Trump utasikia mm imezuiya Ayatollah asife 👀👀

unaouwezo gani wa kuzuiya kifo ikiwa mwenyewe ndio unakimbia kifo kindezi ndezi kadondoka pengine kanya palepale shubamit !!!

kifo wenyewe Waislam sababu ni watu wa Ibada✍️.
 
Ceasefire Iyendelee naona uko uko kuna vijana wanataka kumpeleka mbio mbio hakuna kula Bata hakuna kupoaa babu mbioooo 😜😜😜😜😜mala chinii tena mbiooo😜😜😜😜😜

Wanataka kumuuwa Babu yetu.
 
So Unaamini hiyo staged!? Trump ni bingwa wa hizo drama
Kwahiyo hii
Screenshot_20260426-174306.jpg
risasi ya sikio nayo ilikua drama? Mnachekesha nyie
 
Back
Top Bottom