Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama


Kumuomba Mungu ili Afe au Asife apo ndio hatujakuelewa ?
 
Hao wanausalama walikua wapi wakati muhuni anajipenyeza na silaha ya moto?
Au ni "Inside Job"?
Wenyewe ndio wanausika sema mpangwaji kakosea pati yake lengo limekosewa!

Viongozi Marekani wanawauwa Wenyewe ikionekana unazingua na wananchi wanakupenda✍️
 
Binafsi kati ya watu sitaki matani nao ni PSU wakiwa kazini kwao
 
Trump ataishi maisha ya wasiwasi na mashaka mpaka mwisho utawala wake, hana tena uhuru kama watangulizi wake.
 
Mshambuliaji sidhani kama alilenga kumuua Trump, maana alifyatua risasi Kwa mbali na alipokuwa Trump

Afu shooting US ni kitu Cha kawaida watu wengi Wana bunduki, kumua raisi wa US aliye madarakani aiseee jipange, Toka afe Kennedy Secret service hawataki mchezo
 
Marekani ni tofauti sana na kwetu. Hebu otea ingekuwa Malawi, jamaa angekuwa hali gani?
 
Huyu babu ipo siku watamchapa shaba!
Naona watu ana kiu nae sana. 😁
 
Kumuua rais wa marekani ni rahisi sana.kama siyo Trump kugeuza shingo lile tukio la kwanza leo hii angekua marehemu risasi ilipita sikioni.au hukuona?
 
Makamu wa Raisi kakokotwa tu kama Pipa, ila Trump amezingirwa left and right πŸ˜€.

Kweli President sio matako.
 
Nimeona jamaa wanasema ni Vatican wanamsulubu πŸ˜…πŸ˜…..Ukweli ni kwamba Vatican hawana huo uwezo wala hawana hizo nguvu..

Wanaoitisha USA ni Israel tena Mossada ,hapo jamaa anashtuliwa ili aendelee na mashambulizi..Huyu mzee anaonewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…