Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Trump ataishi maisha ya wasiwasi na mashaka mpaka mwisho utawala wake, hana tena uhuru kama watangulizi wake.
Ule wote ni uongo propaganda ile subiri utaona Kuna jambo Lina kuja very soon
 
Ila Trump kuna namna anajua kupangilia drama, Kuna video fulani niliziona za ile kukoswakoswa kupigwa risasi ya kichwa, nikasema hawa jamaa waliandika script vzr mno na ikafanya kazi kwa 100%
 
Donald Trump anawindwa sana na maadui zako ikumbukwe bwana D amenusurika majaribio mengi ya kuuwawa.
Video inaonyesha askari wa usalama wakimtoa kwa haraka japo walianza kwanza kumtoa makamu wa rais akafuate bwana D
Kumbe D muoga vile πŸ˜‚ πŸ˜‚ hadi ameanguka chini dadek chezea risasi et
 

Attachments

  • Sam-Misago_20260426_2.mp4
    2.2 MB
ndoto za mchana
 
Kama ipo source ya kuaminika iliyo na hiyo taarifa, si uniwekee hapa nisome kujiridhisha.!

Kuna ugumu gani hapo?
Sawa
Ungeeomba kistaarabu hivyo badala ya kuita watoa taarifa waongo
Haya hii hapa ya kiswahili



 
Shukrani mkuu.

Hapa sina neno tena πŸ˜‚
 
Tukio kama hili lingeweza kutokea sana hata huku kwetu lakini kwa bahati mbaya bado hatuna ujasiri japo tuna watawala wa hovyo mno kuliko hao akina Trump.

Pamoja na Trump kukoswa koswa lakini yeye bado hajaua wamarekani tofauti na watawala wa huku wanaoua raia wao kwa maelfu.
 

Trump utasikia mm imezuiya Ayatollah asife πŸ‘€πŸ‘€

unaouwezo gani wa kuzuiya kifo ikiwa mwenyewe ndio unakimbia kifo kindezi ndezi kadondoka pengine kanya palepale shubamit !!!

kifo wenyewe Waislam sababu ni watu wa Ibada✍️.
 
Ceasefire Iyendelee naona uko uko kuna vijana wanataka kumpeleka mbio mbio hakuna kula Bata hakuna kupoaa babu mbioooo 😜😜😜😜😜mala chinii tena mbiooo😜😜😜😜😜

Wanataka kumuuwa Babu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…