Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa?

Inategemeana na eneo mkuu, 10M nje ya mji ni kubwa na inatosha vizuri kama hatataka mambo mengi kwa wakati mmoja.
Hivu unaujua utofauti kati ya Bar, pub na grocery??? Na weng wamemshauri labd iwe grocery ya kawaida lakin sio kuleta ushindani kweny bar hyo ni hela ndogo sana itaishia kwenye marekebisho ya office bila kujaza pombe kali.... Hiv unaujua mtaji tu wa vinywaji vikali kwa bar?????
 
Acha kukariri wewe hiyo bar anataka iwe wapi?? Sio unabisha hata biashara yenyewe hujawahi kuifanya.

Umeambiwa bar zote zina pombe kali brand zote?? Unazozionaga kwenye shelf bar nyingi zile ni show off tu.
 
Duh milion 10 labda grocery ndogo tena kwa kujibana, mkuu unajua bei ya mziki mkubwa?
 
Mkuu mimi nna Liquor Store nlianza kwa mtaji la 7Million. Kikubwa n Business Location tu
 
Kwa bar sikushauri sana labda unge anza na grosary pia location ni muhimu sana …. Kama huna experience ya biashara husika usianze na kikubwa soma mchezo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…