Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Yeah na mimi nikamrekebisha na kumpa ushauri ninaouona kuwa ni mzuri kwake.Naona yeye ametaja mtaji wake tu huenda kutokana na ujuzi duni juu ya biashara husika ameitaja kama bajeti ?
Ana uhuru wa kuuchukua au kuuacha. Upande wangu sitaathirika na chochote.