Mkuu acha ubishi hapa watu wanakupa uhalisia wa mambo kwa vile umesema haujawahi kuifanya hii biashara. Kiufupi hela yako bado haitoshi kwa bar iliyokamilika, mfano umezungumzia mziki heavy duty hiv unaijua bei ya huo mziki??? Yaani(mixer njia tatu, speaker2, amplifier, booster na waya zake ongeza na laptop ya dj)
Basi nenda kaulize hata kariokoo, kwa milion 3 unapata speker Tu, tena fidek Na wala sio candy au oprah, jbl ndio kabisaa hugusi. Bass nzuri kwa sasa Ni oprah, inauzwa ml 1 doble inasoma 1.8mill ,hiyo ya single Ni 1000 watts rms,peak Ni 2000w pmpo. Bass fidek yao singe ni laki 7.5 ina 800wts rms, double ni 1.5 mln, mid fidek ni laki 8 800wts rms,Mid nzuri Ni candy inauzwa laki 650 mpaka laki 8 . Ni nzuri sababu zina tweeter kubwa Na Ni imara,haziunguzi crossover au coil ya tweeter ivyo, Ni nzuri kwa mziki wa nje Na ndani. Booster fidek p7000 inakutosha bei Ni Kati ya 1.5m Na p 5000 Ni 1.3 milion. Crossover candy Ni laki 2.5 au 3,equlizer Ni Kati yalaki 3 mpaka 6 kulingana na size ,ila dbx 2channel inakutosha kwa laki 3 kwa kuanzia.
N.B hizi ni bei za muda kidog kipindi naagiza zinaweza kuwa chini ya hapo.