mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Wapi amesema alipozitoa hizo pesa?Usiamishe magoli, wapi kasema ni zake au sio zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi amesema alipozitoa hizo pesa?Usiamishe magoli, wapi kasema ni zake au sio zake?
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha hizo ni za serikali au mchango wa wadau basi ni fedha zake mwenyewe.
Hivi Makonda huwa anapata wapo fedha za kuweza kushindana na wafanyabiashara wakubwa registered katika kutoa misaada?
Sheria ya maadili ya viongozi inataka kiongozi kuweka wazi vyanzo vya mapato, zawadi na hata michango inayopatikana kwa kiongozi. Kwa nini huyu jamaa ni exceptional?
Jee ni mla rushwa mkubwa? Mnyang'anyi wa fedha za wafanyabiashara wakubwa kama tetesi zilivyo? Au pia habari kuwa anatumwa na aliyemteua kukusanya ndio maana hahojiwi?
Kwenye suala hili hakika TAKUKURU wamebaki kuwa Toothless bulldog, na ni aibu kwa taasisi kumshindwa MTU mdogo kama RC wakati tunaona nchi zingine taasisi kama hiyo zinaweza kumuwajibisha hata mkuu wa nchi.
MAKONDA ANATOA WAPI PESA HIZI ZA KUHONGA?
Bashite ana uhusiano usiofaa na jiweHakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha hizo ni za serikali au mchango wa wadau basi ni fedha zake mwenyewe.
Hivi Makonda huwa anapata wapo fedha za kuweza kushindana na wafanyabiashara wakubwa registered katika kutoa misaada?
Sheria ya maadili ya viongozi inataka kiongozi kuweka wazi vyanzo vya mapato, zawadi na hata michango inayopatikana kwa kiongozi. Kwa nini huyu jamaa ni exceptional?
Jee ni mla rushwa mkubwa? Mnyang'anyi wa fedha za wafanyabiashara wakubwa kama tetesi zilivyo? Au pia habari kuwa anatumwa na aliyemteua kukusanya ndio maana hahojiwi?
Kwenye suala hili hakika TAKUKURU wamebaki kuwa Toothless bulldog, na ni aibu kwa taasisi kumshindwa MTU mdogo kama RC wakati tunaona nchi zingine taasisi kama hiyo zinaweza kumuwajibisha hata mkuu wa nchi.
MAKONDA ANATOA WAPI PESA HIZI ZA KUHONGA?
Na mbaya zaidi kafanya hivyo mbele ya bosi wake anayesema yuko mstari wa mbele kupinga mambo ya aina hiyo, Katibu mkuu Dr BashiruKwa hili simuungi mkono Makonda.. Mmmh, hii inaleta picha mbaya kabisa. It will backfire very soon. CCM sio ya kupokea hela kwa njia za hivyo
Kula NyagiMilioni 100?
Umeonyesha uko kumpinga Makonda basically sababu waijua mwenyewe. Wewe mwenyewe unasema hajasema pesa ni zake au laa ila umeamua kuhitimisha kuwa ni zake kisa hajasema ni zake au laa ili tu ujenge msingi wa hoja yako dhaifu.
Kina tibaijuka na ngereja wanapigana vikumbo kurejesha hela ya escrow kwa kosa LA kukiuka maadili ya utumishi wa umma,Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha hizo ni za serikali au mchango wa wadau basi ni fedha zake mwenyewe.
Hivi Makonda huwa anapata wapo fedha za kuweza kushindana na wafanyabiashara wakubwa registered katika kutoa misaada?
Sheria ya maadili ya viongozi inataka kiongozi kuweka wazi vyanzo vya mapato, zawadi na hata michango inayopatikana kwa kiongozi. Kwa nini huyu jamaa ni exceptional?
Jee ni mla rushwa mkubwa? Mnyang'anyi wa fedha za wafanyabiashara wakubwa kama tetesi zilivyo? Au pia habari kuwa anatumwa na aliyemteua kukusanya ndio maana hahojiwi?
Kwenye suala hili hakika TAKUKURU wamebaki kuwa Toothless bulldog, na ni aibu kwa taasisi kumshindwa MTU mdogo kama RC wakati tunaona nchi zingine taasisi kama hiyo zinaweza kumuwajibisha hata mkuu wa nchi.
MAKONDA ANATOA WAPI PESA HIZI ZA KUHONGA?
Umeonyesha uko kumpinga Makonda basically sababu waijua mwenyewe. Wewe mwenyewe unasema hajasema pesa ni zake au laa ila umeamua kuhitimisha kuwa ni zake kisa hajasema ni zake au laa ili tu ujenge msingi wa hoja yako dhaifu.
Sodoma na gomora au singida na Dodoma?Bashite ana uhusiano usiofaa na jiwe
Ni wivu tuu..in gwaji tone!Makonda muuza Ganda,kabaki peke yake kwenye biashara .Miilion miamoja kwa Muuza Ganda tena ya madafu ni pesa ndogo sana.
Hata mnyeti amejenga uwanja wa mpira wenye thamani ya bil 2 kule kwao kwa kutumia mshahara wake.Hongera Makonda kwa kuchangia chama kubwa naona umetimiza ndoto yako..
Milioni 2 kwenye mshahara wako kila mwezi kwa miezi 48 ni milioni 96mil hizo nne unaweza ukawa hata umekopa tu kutimiza 100mil ..wasikuonee wivu tuchangie chama letu CCM ebo..