samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Ni wivu tuu..in gwaji tone!
Huyu ndio alisambaratisha mtandao wote na sasa vijiweni ni kweupe.
Hii ni biashara ya dunia hakuna mwenye uwezo huo, China pamoja na sheria zake zote ngumu za kuua kila siku contena zinashuka, USA na teknolojia yake yote anahaha juzi amekamata submarine ikiwa na mzigo, SA na ujanja wote wameishia kwenye Xenophobia...
Unachoweza kufanya ni kuondoa vurugu na matanuzi ya wauza ngada ili jamii isiwajue, wale wasiojulikana na ambao hata uswazi hawafiki huwa hawagusiki na hawafikiki..Hao mateja unaowaona uswazi wanakula uchafu sio nyeupe yenyewe original ambayo inatumiwa na matajiri..
Pale Mombasa Kenya walifanya crackdown mpaka ikatengenezwa documentary na yule Mbunge wa nyeri, file likaja kutoka mpaka Holland lenye majina na wamiliki wa teritory linking btn Venezuela - Mombasa - Antwep watu walinusa tu misiba ilikuwa mingi mpaka faili likafunikwa.. Hii ni laana mkuu...