Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #61
Awamu ya tano ambayo kiongozi wake anasema haoni sababu ya kuondoka kwani Barbara hazitajengwa, ndege hazitanunuliwa wala SGR haitajengwa.Hivi unadhani pesa zinazokamuliwa kutoka kwa watuhumiwa wa kesi za kubambikiwa zinaenda wapi? Unajua ni wafanya biashara wangapi wamelazimishwa kuwapa hela hili genge la wanyang'anyi kuokoa maisha yao? Wengine wamenyang'anywa kwa nguvu hela zao ili wahuni kama akina Makonda wajilimbikizie hela ambazo hawakuzifanyia kazi. Hii ndiyo awamu ya tano.
Na wapo wehu badala ya kuzomea wanashangilia