Milioni 150 Rais Samia kaipata wapi?

Ila wewe jamaa ni wa hovyo kabisa!
Rais kapata wapi 150m!
Fala nini.
Unatukana watu na hujui chochote, raisi ni taasisi na ina bajeti yake na haikaguliwi kamwe na CAG
 
Pamoja na kusoma ndio kwa UMEONGEZA UJINGA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umesahau kuwa rais ana fungu maalum la pesa ambazo haziko audited.
Ukiwa rais unaweza amua pesa uwe unawapa ndugu zako na hakuna wa kukuuliza maana haziko audited.
VOTE 23
 
Mbowe ms*nge sana, Afu Mama anatake advanrage ya upumbavu wake.

Hizi dini zifutwe tu zinaturudisha nyuma sana.
 
Nafikiri humaanishi raisi wa taifa la Afrika
 
Binafsi nafikiri Samia anatumia hela za umma vibaya kujenga nyumba za ibada ili kumhonga mbowe amsaidie uchaguzi 2025 huku yeye akimsaidia mbowe kampeni kurejesha jimbo yeye na wafuasi wake wanaamini ni himaya yake binafsi.
 
Itakuwa katukopa watanzania kachangia nyumba ya ibada
 
Ungeanza na Magufuli na msikiti wa Chamwino Dodoma kisha malizia na makao makuu Bakwata Kinondoni, tusamehe fungu la Hija.
 
No to Dpworld
No to saa 100
No to ccm
Our pourt
Our heritage
 
Je, umedhamiria kuuliza hili swali juu ya Mhe. Samia alikozitoa 150M, au unatania? Unaamini haziko kwenye uwezo wake?

Ova
 
Rais ana bajeti yake pale Ikulu ambayo huwa haikaguliwi! Mwache atumie atakavyo na anavyopenda!
 
Jamaa anahoji maswali ya msingi. Kwa sababu tumekuwa kizazi cha ufisadi na kuona kuwa Raisi wa nchi ni mfalme yuko juu ya kila kitu, ndiyo maana tunaona sawa. Kugawa pesa barabarani, kutoa pesa kwa magoli ya mpira kwa vilabu binafsi. Kusema mheshimiwa Rais katoa pesa hii kujenga mradi huu. Hii ni hulka na fikra mpya tunalishwa kuona ni sawa. Kumbuka haya hatujawahi kuona ktk awamu za nyuma, yalianza kushika kasi awamu ya 5. Uadilifu na kuhakiki mali zako kama kiongozi wa umma ni muhimu kwa kujenga imani na ustawi mzima wa taifa letu.Jibu hoja pesa unazogawa kama njugu zinatoka ktk fungu gani? Ni part ya mshahara wako ? Ni fungu la budget ya Ikulu? Jibu wananchi tufahamu. Uko kwenye ofisi ya umma unatupa pesa huku na huko halafu tusihoji, hii ni sawa?
 
Kwani Magufulimillion 300 alizochangia Msikiti Dodoma alizopata wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umesahau kuwa rais ana fungu maalum la pesa ambazo haziko audited.
Ukiwa rais unaweza amua pesa uwe unawapa ndugu zako na hakuna wa kukuuliza maana haziko audited.
Anapewa kama billion tano hivi ambazo anaamua mwenyewe apeleke wapi, anaweza kutoa ZAWADI, kutoa mchango nk.
 
Alipogawa Benz ya 300 m wengi waliona ni ufujaji.

Nje ya Afrika, hisani ya kiasi hicho inadai vyanzo vya mapato binafsi vinavyotozwa kodi.

Nje ya Afrika.
 
150 nyingi sana kuchangia kanisa ... Wale wa dini nyengine wakitaka atawanyima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…