Milioni 150 Rais Samia kaipata wapi?

Milioni 150 Rais Samia kaipata wapi?

Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Je, sio kweli kila siku zikijengwa shule, zahanati, brbr na kila ktu tunaelezwa kuwa Rais wetu Mh. Dr....katoa sh. xyz kwa ajli ya maendleo ya waTz...! nk. na watu hawaulizi kama ni ktoka mfkoni kwke au wp! Hayo mapambio yanayoimbwa kumsifu kila atoapo, yataendelea kwani ndivo waTz wanavoonekana kupenda! Kama hizo zngne tmeshndwa kuuliza anaztoa wp, kuuliza hzi 150m. zimetoka wp itaonekana ni kutafta uchokoz na utaonekana mpnzni...nk. Yako meengi ya kuuliza, sio hilo tu, fuatilia utaona ...nk
 
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Hizo ni mali za Mbowe zinarudishwa kimtindo.
 
Hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C1kSOW5oS1K/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Watu wanasema hata DPW anatakiwa kujenga misikiti 900 Hv nchi nzima ndio moja makubaliano yaliyojificha kwenye mkataba.Ndio ujue sasa kwamba viongozi wa serikali wamekuwa wehu sasa maana hawafanyi tena kazi ya mwananchi sasa wamehamia kwenye kutangaza dini.
 
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Hii nchi inawatu wajinga na wapumbafu sana kwani viongozi wangapi wamejenga misikito/makanisa??
 
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Binafsi nafikir ingependeza waandike Rais kachangia kuliko SSH kachangia maana Rais ni taasis na sio mtu
 
Huyu mama na mbowe wanajuana..huenda hata ni wapenzi
 
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ?
View attachment 2858754

Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini?
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakosali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo awapo nyumbani Machame amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Samia.
Hizi rushwa zinagari u nchi
 
Uongozi unanunuliwa Kwa Hela zenu.
 
Back
Top Bottom