Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

Ukihitaji gari au bidhaa toka South Africa nicheki pm . From Johannesburg with 💕.
 
Wee jamaa unaandika pumba umu kuwadanganya wenzio...unalijua Singapore vizuri wewe au unaropoka tu..kati ya nchi.5 duniani za wanachi wenye kipato cha juu ni singapore,hiyo ya kusema owner zaidi ya wanne uongo..kuna uncle wangu anaishi uko tangu miaka.90 alituma gari 3 Kwa pamoja za matumizi ya nyumbani,Hakuna kitu kama hiko na gari nzima mpaka leo,zina zaidi ya miaka.7 now
 
Yeye si kanunua direct huko. Yeye anaongelea agents... Je alitumia agent gani?
 
Nilinunua kwa mwanangu mmoja hivi alikuwa na jamu tu za kifamilia yeye ni engineer ni Ford Ranger 2.2 TDCi XLT Auto Double-Cab ya 2018 nilichukua Rand kama laki tatu na uchafu.
Hongera Sana Mkuu. Hizo za kuchukua mkononi Kwa mtu unayemjua SA tamu sana. Niliwahi kununua Mercedes Benz C200 toka kwa Mzungu Port Elizabeth aisee chuma Safi sana nilibadillisha coil tu
 
Hongera Sana Mkuu. Hizo za kuchukua mkononi Kwa mtu unayemjua SA tamu sana. Niliwahi kununua Mercedes Benz C200 toka kwa Mzungu Port Elizabeth aisee chuma Safi sana nilibadillisha coil tu
Kwenye maisha sometimes inabidi utumie mbinu ya kuvizia chief maana kujitungua kila wakati kunarudisha nyuma...wapo watu wana vitu vizuri wakitaka kuuza ndio unaishi nao pia zipo kampuni zinazoleweka hazina janja janja.
 
Sure Mkuu. Pia kuna mwana humu Isanga family ana madini ya SA
 
Okay asante sana.
Ila Japan mnunuzi anaweza kuwa mmoja ila hizo km zinazotembea ni hatari. Singapore magari yao mengi si kilomita malaki..... Nadhani pia kutokana na udogo wa nchi. Wanaenda wapi...
Singapore wanarudisha nyuma Kilometer, na kuweka leather nzuri ili watapeli watu. Muda mwingine Hadi Cc za engine wanaandika sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…