Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Mkuu naomba Code ya VW polo na mwaka kama naagiza saivi.Sawa. Agiza ila litoke Japan lisitoke SA.
Mil 20 chukua
BMW F30 2013 kuja juu.
Audi A4 (B8) 2009 kuja juu.
Benz C Class (W204) 2008 kuja juu.
Izo ni compact sedan.
Ukitaka kubwa zake chukua Full Size au Midsize sedans:
BMW E60 2009 kuja juu.
Audi A6 (Typ 4G) ya 2011 kuja juu
Benz E Class (W212) ya 2010 kuja juu
Sema nipo kibati ningekupa na pic.
Ila kwa durability inaanza Benz anakuja BM kisha Audi.
Mcheki na VW