Mkuu naomba Code ya VW polo na mwaka kama naagiza saivi.Sawa. Agiza ila litoke Japan lisitoke SA.
Mil 20 chukua
BMW F30 2013 kuja juu.
Audi A4 (B8) 2009 kuja juu.
Benz C Class (W204) 2008 kuja juu.
Izo ni compact sedan.
Ukitaka kubwa zake chukua Full Size au Midsize sedans:
BMW E60 2009 kuja juu.
Audi A6 (Typ 4G) ya 2011 kuja juu
Benz E Class (W212) ya 2010 kuja juu
Sema nipo kibati ningekupa na pic.
Ila kwa durability inaanza Benz anakuja BM kisha Audi.
Mcheki na VW
Tatizo bongo stori nyingi sana ni za vijiweni za kurithishanaš¤£š¤£Wee jamaa unaandika pumba umu kuwadanganya wenzio...unalijua Singapore vizuri wewe au unaropoka tu..kati ya nchi.5 duniani za wanachi wenye kipato cha juu ni singapore,hiyo ya kusema owner zaidi ya wanne uongo..kuna uncle wangu anaishi uko tangu miaka.90 alituma gari 3 Kwa pamoja za matumizi ya nyumbani,Hakuna kitu kama hiko na gari nzima mpaka leo,zina zaidi ya miaka.7 now
Mkuu uncle wako atakua millionaire, maana sasa hivi kumiliki gari moja tuu Singapore minimum cost ya certificate Kwa 10 years ni USD76,000 bila bei ya gari. Source: CNN : https://edition.cnn.com/2023/10/05/asia/singapore-most-expensive-car-license-intl-hnk/index.htmlWee jamaa unaandika pumba umu kuwadanganya wenzio...unalijua Singapore vizuri wewe au unaropoka tu..kati ya nchi.5 duniani za wanachi wenye kipato cha juu ni singapore,hiyo ya kusema owner zaidi ya wanne uongo..kuna uncle wangu anaishi uko tangu miaka.90 alituma gari 3 Kwa pamoja za matumizi ya nyumbani,Hakuna kitu kama hiko na gari nzima mpaka leo,zina zaidi ya miaka.7 now
Ni mtu ambae anajiweza saana ni shareholder wa baadhi ya company zinafanya Kazi uko east AsiaMkuu uncle wako atakua millionaire, maana sasa hivi kumiliki gari moja tuu Singapore minimum cost ya certificate Kwa 10 years ni USD76,000 bila bei ya gari. Source: CNN : https://edition.cnn.com/2023/10/05/asia/singapore-most-expensive-car-license-intl-hnk/index.html
Tupe majina yake matatu, tumchunguze vyanzo vyake vya mapatoNi mtu ambae anajiweza saana ni shareholder wa baadhi ya company zinafanya Kazi uko east Asia
Ukitaka gari agiza kutoka Ulaya utafurahi. Iwe german car au Japan machine chukua ya European market.German cars za South na Singapore achana nazo.
Chukua Japan.
Mtu Afisa mikopo NMB au Halmashauri Buhigwe huko aagize gari Europe? Seriously?Ukitaka gari agiza kutoka Ulaya utafurahi. Iwe german car au Japan machine chukua ya European market.