GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #61
Huo nao pia ni ushauri in disguise! Imeandikwa, "sharpen your idea on the grindstone of criticism"Hii ni chai. Huwezi kutafuta hela hadi upate 500m halafu hujui ujenge nyumba ya bei gani na gari ya bei gani latika bajeti yako ya 200m.
Umemaliza kila kitu.Mtu mwenye mzunguko wa million 200 hawezi kuwa na akili za kijinga kama hizi.
Nyumba ya kifahari kwa mil 70 ni ipi ?Nyumba ya makazi na una pesa uisimamie mwenyewe, haiwezi kuchukua miezi zote hizo 6 bhana.
Ni miezi mitatu tu inatosha msingi hadi finishing. Miezi 6 ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Halafu mtu anaacha kazi, magari mawili ya nini, aanze na moja,la pili ama zaidi ataongeza akishajipata huko mbele ya safari.
Ujue gharama ya matunzo na mafuta ya magari yanahitajika, siyo kuendesha tu, ni gharama.
Nyumba ya kifahari kwa mil. 70 inatosha na mil. 30 kwa gari. Izo zingine asizitapanye, aziwekeze kuendeleza plan B yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyamaza we DOKTA MATOLA MAVI, wacha wenye hela waongee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo hela kaokota? Au kashinda bet?
Milioni 200 halafu analeta discussion za kipuuzi. Mleta mada, muulize kwanza, huyo mtu anaijua mil 200 au anaisikia tu?
Kwenye issues za uwekezaji inaeleweka. Lakini anunue gari gani kwa bei gani, ajenge nyumba ya bei gani...kwa mtu aliyehustle kuitafuta hadi kufika 200m amepitia mengi na ana uelewa wa mengi.
1. Anayeuliza haimaanishi kuwa hajui. Anaweza akawa anajua ila anataka kuboresha mawazo yake.Hii ni chai. Huwezi kutafuta hela hadi upate 500m halafu hujui ujenge nyumba ya bei gani na gari ya bei gani latika bajeti yako ya 200m.
Naweza kuuliza mkuu, tena nitaweka options kwenye maswali yangu. Ila kwa maelezo hapo mwamba hana clue mkuu. Ni kama hiyo 200m kapewa zawadi au kaokota sehemu.Mkuu ukiwa na bajeti ya millioni 30 huwezi kuomba ushauri wa kununua aina ya gari kutoka kwa wenye ufahamu wa magari?
Naweza kuuliza mkuu, tena nitaweka options kwenye maswali yangu. Ila kwa maelezo hapo mwamba hana clue mkuu. Ni kama hiyo 200m kapewa zawadi au kaokota sehemu.
Angalia jinsi mada ilivyo utaelewa nini namaanisha.
asisahau na gharama za matengenezo ya hayo magari mawili.Gari moja ni la kazi - safari za "mashambani" na "mikoani". Gari la pili ni dogo kwa mizunguko ya mjini na safari fupi.
Uko sahihi.Nilivyo muelewa ni kwamba katika bajeti ya 200M anahitaji gari 2 katika shughuli zake na nyumba moja. Kwa hiyo bajeti ni gari gani aina zipi anunue kurahisisha shughuli zake kisha ajenge nyumba kwa gharama inayo baki. Ama mi nimeeelewa vibaya?
Nimebaini hili:Naweza kuuliza mkuu, tena nitaweka options kwenye maswali yangu. Ila kwa maelezo hapo mwamba hana clue mkuu. Ni kama hiyo 200m kapewa zawadi au kaokota sehemu.
Angalia jinsi mada ilivyo utaelewa nini namaanisha.
Sawa.1. Anayeuliza haimaanishi kuwa hajui. Anaweza akawa anajua ila anataka kuboresha mawazo yake.
2. Umeshasoma kitabu cha THE MILLIONAIRE NEXT DOOR! Watu kama hao wapo hata nchi zilizoendelea.
3. Mimi nimeelezea mwitikio wangu kwa mtazamo wangu. Nilitarajia nipongezwe kwa jinsi nilivyoshauri vizuri au nikosolewe nilikokosea.
4. Kinachoandikwa humu kinasomwa na watu mbalimbali. Huenda siku za baadaye zikawa rejea kwa watu wengine. Kama mtu unafahamu jambo kwa ufasaha, itasaidia endapo utajibu kwa ukarimu kwa maslahi mapana ya kizazi cha sasa na cha baadaye.
5. Mwingine anayeupitia huu uzi anaweza asiwe ameshawahi kumiliki hata baiskeli, lakini majibu sahihi na ya kutia moyo yanaweza kumhamasisha na kumbadilisha fikra na kujikuta huko mbeleni na yeye anamiliki vinavyotamaniwa na wengi.
6. Kama swali halivunji Sheria za nchi wala hazikejeli dini za wengine, ukijibu kwa ukarimu utakuwa umewasaidia wengi japo huwafahamu. Kuna watakaosaodika, hata kama ni mmoja.
7. Kama kuna ambacho kinaonekana hakipo sawa, nilaumiwe mimi niliyeuleta huu uzi na siyo niliyeuliza kwa niaba yake. Aliuhitaji ushauri wangu, na mimi nilipotaka kujua usahihi wa ushauri wangu, nikalileta kwenye uma wa JF.
Kwa mtu kama mimi, nikisimamia ujenzi mil. 70 ninajenga nyumba ya kupendeza sana.Nyumba ya kifahari kwa mil 70 ni ipi ?
Watu huwa wanauliza nina 50m au 70m gari gani nzuri kwa ajili ya shamba au safari ndefu za mara kwa mara.Huo nao pia ni ushauri in disguise! Imeandikwa, "sharpen your idea on the grindstone of criticism"
Mkuu huyo 'jamaa' mwenye hiyo bingo la 200m siyo wewe kweli?Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi.
Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu miradi yake. Ametenga milioni 200 kwa ajili ya nyumba na magari mawili.
Anataka magari mawili kwa sababu miradi yake itamuhitaji kusafri mara kwa mara hivyo anataka gari moja la masafa marefu na gari dogo kwa mizunguko ya mjini.
Ushauri wangu kwake:
1. Atenge milioni tatu kwa ajili ya pango la nyumba kwa miezi sita. Katika kipindi hicho cha miezi sita ahakikishe nyumba yake inakamilika.
Yeye alitaka kuinunua iliyokwishajengwa (kuna inayouzwa milioni tisini) lakini nimemshauri kuwa ya kujenga mwenyewe ni bora zaidi hasa ikizingatiwa kuwa atakapoacha kazi atakuwa na muda mzuri wa kuisimamia kwa karibu.
2(A). Anunue gari dogo (saloon) lisilozidi mililioni thelathini: AUDI, BENZ, BMW, n.k. Akikosa ya bei hiyo show room atafute kwa watu binafsi.
2(B). Anunue gari la masafa marefu lisilozidi milioni sabini. Mashaka yangu ni uwezekano wa kupata gari bora nchini kwa hiyo bajeti, hasa ikizingatiwa kuwa gari lake pendwa la masafa marefu ni LAND CRUISER PICK UP! Lakini sina uhakika kama ataweza kupata "zima" kwa bei hiyo.
Ingelikuwa ni wewe ungemshaurije?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeulizwa mtu ana 200m inakuwaje anauliza vitu basic kama hivi?
Kana kwamba haitoshi unasema ana miradi ya 500m yaani ndio unazidi kuleta mkanganyiko.
Mtu ana ndoto ya kuwa na kwake lakini ana 200m hajui ajenge nyumba ya aina gani? Ana miradi ya 500m lakini bado hajui kubajeti 200m apate nyumba na gari. Hebu acheni kuchanganya vijana na stori zenu za mamilioni.
[emoji23][emoji23]Hii ni chai. Huwezi kutafuta hela hadi upate 500m halafu hujui ujenge nyumba ya bei gani na gari ya bei gani latika bajeti yako ya 200m.