Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Hivi inakuajee unaweka mawasiliano binafsi ya kimpenzi kwenye mtandao namna hii?

It shows you have a bigger personal problem

I really dont understand there are our fellow men doing this nonsense

I will never do this,ever!
 
Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima [emoji28][emoji28][emoji28]hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
[emoji1] na ikifika robo mwaka unapigwa chini
 
ukiona demu anakupmba pesa yingi ivyo jua kakudharau na ww pia mdharau
 
Hahahh kazi kweli. Uhonge ml 3 ili uvumbue nini labda?
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]. Ukweli ni kwamba kwa maisha yetu ya kitanzania pengine hata Africa vipato vyetu havijakidhi mahitaji yetu. Ko ni wachache wenye m3 ambayo haina Jambo la msingi la kuzifanyia Mana hata kama wewe huna shida ila kuna dada ako anaumwa, kuna mtoto wa bamdogo kaacha shule kisa ada,, kuna shemeji yupo jela hana dhamana, kuna rafiki yako anauguza mkewe. Ko shida zinazotuzunguka tu hatujaweza kuzikabili unatoa wapi pesa yakutoa usiwaze? Bora ukazinywe pombe utazingizia mawazo
 
Unanunuaje mbunye mzee? Ipi ni thamani ya mbunye? Huyu atatoa mil 3, ataila mwingine kitimoto na bia ataila, mwingine gari ataila, mwingine iphone 13 pro max ataila...kati ya hao wote nani mjanja...?

..na kuna anaemega kisela pia[emoji23]
 
Ni afadhali anaeuza direct mnamalizana mnalipana kila mtu anaendelea na mambo yake. Sio huu ufala wa kuombwaombwa hela kipuuzi kama vile kuna mahala zinachumwa[emoji16]
 
Akili za wanawake wasasa wanahisi wanaume tunapenda mbususu mpaka hatujielewi lakini kumbe limbususu halina thamani hiyo na mambususu ya sasa mengi hata hayana maajabu
 
Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima 😅😅😅hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
😂🤣😆
 


 
Takers have no shame.
Na ukiruhusu mazoea atakuja na kukupiga laki tatu nyingine, tena huku analalamika kua "wewe ni mchoyo"

Proffessional beggers, proffessional takers, money vampires.
Huyu mie mbona nimemuweka kiporo yaani atashangaa hii dunia.
 
Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima 😅😅😅hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
Comment nyingine hadi raha, hujutii kurudiarudia wala kununua bando ili uzisome tena
 
Gari ukiwa nalo,linapunguza gharama sana ya muda na rasilimali pesa,Utawala watoto wa chuo hadi basis,pamoja na wadada wengine.Utamuongezea hela kidogo sana,kwa ufupi,maskini wengi ndiyo wanahonga sana,mtu mwenye kipato cha kati,akajiongeza,kama hajaoa,akawa na gheto au nyumba Kali na gari,basi ushawamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…