Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Ila mkuu mlion tatu ni pesa ndogo kula mbususu mwaka mzima yani kwa sku unalipa sh 8300 tu .
 
Oya toa milion 3 hiyo ukigawanya kwa mwaka ni 250000 kila mwezi ukiwa unamla mara 3 kwa mwezi ni 83000 kila mnapokutana hiyo ni jumla ya pesa ya lodge, Savannah na kitimoto na nauli yake kabisa kakubalansia [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Mie sio bahiri kuhonga ila hesabu hapa zinakataa. Utatoa mil. 3 na bado utalipia gesti, utalipia bia na utalipia kitimoto. Bado wakati wa kuja utalipia bodaboda.

Kumbuka ukitoa hiyo M3 sio kwamba huduma zote atalipia yeye. Na kwenye kudinyana hizo huduma zinagharimu sana. Hapo labda kuhonga ndio unaweza ukasamehewa
 
Abhakema bha haha bhodogo gete,ndoho amasala,ila echene manonu lekaga gete....bora kununua tu wale wanaouza kuliko hawa wa ukimtongoza hapo hapo nywele zinafumuka,kodi inaisha,mama anaugua,gesi inaisha n.k...bhagoshaaaa
 
Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.

Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k.

Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa

Unajua Binafsi huwa sitaki kua kama nanunua, Huwa napenda nimjali mwanamke Kwa Msukumo wa Moyo wangu sio sababu ana K !! Ndio kama K si zipo nyingi yanini Sasa habari za 'fanya hivi fanya vile, aaa bwanaa wewe wengine kamba zetu zinatukutanisha na PISI/VISU mamia Kwa mamia na Kila siku !.

Tuyaache hayo, Siku Kadhaa mbele ndo akapata kunijua Jua hivi naona Sasa akahisi kumuhitaji ndio sehem ya yeye kunipiga......Basi Jana mida ya saa 10 Huyu Bidada Jana anarudia kosa lilelile, " et Nimkopeshe Milioni 3 za kitanzania jamani, kwamba nikishampa ndio naye anipe mbunye yake " hiiiiiiiiiiiiii Nkoiiii !!!

View attachment 2316571

Wee yaan 3M kisa K , sibora mtu anaingia Kwa makubaliano mengine ? Hahaha
Yaan 3M kisa K ?? K ?? Uwiii Mimi sio Bachela nahata kama ningekua Bachela, Mimi sijafikia hatua ya kutoa Pesa Et ndio nipewe K .

Haaaaa Bora kama angekua anauza, ningeenda Moja Kwa Moja kwenye 'Bei', ila Mimi mwenyewe nikutongoze, maana yake nimeamua Kwa Dhamira yangu, wee badala ya kuacha Nikupe Mimi Hela, anataka kulazimisha nitoe Hela kisa mbunye ??.


View attachment 2316568

Alafu nyie Wanawake sikilizeni na heshimuni sana watu , acheni dharau na mbwembwe , Sio mpaka uone mtu ana ndinga ndo uheshimu .yaan Kwa akili ya chekechekea tu Hivi mtu kama Mimi kama siendeshi Gari, Huoni ni maamuzi yangu tu kwamba Pesa yangu Kuna Mahali nimeielekeza ??!!. Haya mambo ya kuheshim watu kisa mnaona wanavitu, matokeo yake "Mmelika Bure sababu jamaa mjini wanaadhima ndinga hawana Hela sana sana atakununulia Pombe na Kitimoto ;!!!!". Unakuta demu anakuchukulia poaaaa kisa unendesha Boxer , baadae akishakujua vizuri kwamba wewe nani, una nn, na nn ,ndo anaanza kukuzoea Kwa speed ya 6G .....

et unakuta Manzi una namba yake naye anayako, huenda unamsalimia lkn anauchuna au yeye tu Salam hamna, alafu Kesho na kesho kutwa anapigwa na kitu kizito kinachohitaji Pesa, hapo ndipo anakumbuka Kuna Boyaa anaitwa Carlos The Jackal hiiiiiiii Nkoiii wasukuma tumeongoza Nchi Kwa miaka 5 !!. Na Si tu KUONGOZA Bali tulitoa Uongozi ambao utaendelea kua Kumbukumbu Kwa vizazi na vizazi hapa Nchini kama uongozi Bora na wakuigwa !!.
Muulize kama je atakupa na kinyeo ni kwenye mkojo ili tushauriane
 
Kabisa yaan siku hizi ukiwa na Gari tu, unaweza usitoe hata Mia

Unambeba, unampeleka Mahali anakula Ndizi, Kitimoto na Bia .

Unaenda maliza.

Ila ukiwa Hauna ndinga, aisee wanakuzungusha sana ili hali wewe ndio unaweza kumuachia Pesa ya kujikimu.
Mkuu ukiwa na gari wanawake wanaogopa kukuomba pesa?
 
Back
Top Bottom