Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Kabisa yaan siku hizi ukiwa na Gari tu, unaweza usitoe hata Mia

Unambeba, unampeleka Mahali anakula Ndizi, Kitimoto na Bia .

Unaenda maliza.

Ila ukiwa Hauna ndinga, aisee wanakuzungusha sana ili hali wewe ndio unaweza kumuachia Pesa ya kujikimu.
Dah! Nianze kujichanga ninunue japo kandinga kama ka mr bean [emoji23][emoji23]
 
Oyaa Wanangu.

Mrejesho ni kwamba, ,Ushauri wenu nimeufanyia kazi.

Mida ya saa 6 mchana alinichek "Vipi G tunafanyaje?"

Nikaona nisiwe kinyonge.

Nikaenda chukua Room ya Standard ya Kati Kati .

Naye akaja, kwanza nikamchana laivu laivu Ubovu wa Tabia yake , Nikamuagizia Pombe zake.

Kisha Nimepiga Bao tatu za uzito wa Kati yaan dakika 30-40 .

Baada ya hapo nikamhamishia 50K Toka CRDB.

nikamwambia hiyo 3 M nitaifikiria upya .

Hajatia neno lolote.

Muda Huu Ndio nimetoka LodgeView attachment 2317336
hii buti kali timberland au zara
 
Kiatu kikali sana.
 
Masika ulikula na nani Kiangazi usumbue watu?

Ulipokuwa kivulini ulikula na nani unapokuwa juani utake kusumbua watu?

Halafu sijui ndio kurogwa?!

Yani wengine mpaka wazazi wao hawawapi hela ya sukari wala mafuta ya taa [emoji848]

Wapwa na ndugu wengine ndio usiseme kila wakiomba msaada jamaa anatoa majibu ya mkato tu sina hela.!

Lakini kwa wanawake anawapa hela kutaka Sifa !
 
Ndio maana mzazi kuzaa watoto wa kiume ni mtihani wakati mwingine!

Wengine wake zao wa ndoa hawataki mume asaidie wazazi wake wala ndugu wa karibu [emoji108]

Wengine mke anaweza kuwa mkarimu tu lakini Mwanaume hataki tu kusaidia wazazi na ndugu wa karibu , yuko radhi hela yake aimalizia kwenye starehe na wanawake.!
 
Kabisa mwaya! [emoji122][emoji122]

Wewe una bahati ,

Umepona zidi ya huo ujinga.

Ni ujinga kweli na “ Wajinga Ndiyo Waliwao”

Halafu baada ya muda wanaanza kuzikumbuka hela walizoibiwa na kuzitapanya kwa malaya.

Kisha kuanza kusumbua watu kubipbip na kuombaomba hisani.

Watu wanakwambia “enzi zake huyo usimuone hivyo” unaulizila enhee nini Kwani alikuwaje ?

Unaambiwa alikuwa tupatupa a.k.a chimwaga [emoji108][emoji108]

Unaambiwa alikuwa hashikiki humwambii kitu kwa starehe na wanawake !

Haambiliki!

Hapo sasa wakati huo hakuna mchepuko unamjua Kwa kheri wala la shari.

Hata yule mtoto wa kufikia alokuwa akijifanya kumsomesha na kumlea hana habari naye abadan asilani!
Wajinga ndiyo waliwao
 
Back
Top Bottom