Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Huyo Dem wako ni kiazi mkuu
 
Pisi Kali za kitaa huwa zinaangukia pabaya sana.[emoji2]
 
Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima [emoji28][emoji28][emoji28]hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
Kwaiyo alipie kodi ya mwaka mzima pamoja na tozo, sasa mkuu ndani ya mwaka kwa mfano mwamke akiondoka kwenda nchi za nchi itakuwaje?
 
Mkuu mi akisema nimkopeshe kwa maandishi atanilipa kwa miezi sita, Na mbususu ananipa na tope ntakuwa natifua nampa bila kusita...
 
Nenda kamgonge andaa 150k tu 50k room 50k chakula na vinywaji , then 50k mpe baada ya show Kali , then muahidi hiyo ml 3 utakuja kumpa baada ya siku 3 .. Baada ya hapo mkiondoka mpige tofali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado bajeti kubwa sana hiyo
 
Pisi Kali za kitaa huwa zinaangukia pabaya sana.[emoji2]
Kuna mtoto wa mamdogo, yupo kipindi yupo advance story zake zilikiwa wanaume wale wenye hela kwake ndio wa maana kwake.

Kamalaiza A-Level akaenda chuo akachukua Bachela ya maswala ya education, basi akapangiwa Dodoma.

Sasa huyo shemeji yangu ndio nimempa minyota yote (General).Kwanza yupo smart,suruali za vitambaa ,zimekula pasi upanga umenyooooka,anachomokea mpaka kawoshi kwenye boksa. Akaingia na gia ya kwamba anafanya kazi halimashauri, basi dada yangu kajaa.

Mwamba katia mimba,akaulizwa mmeo anafanya kazi gani kwa kujiamini kabisa "yupo halmashauri ".Mimba imeenda ilipofikisha miezi mitano, jamaa akaamua kuoa,siku anakaribia kutoa mahali ndipo wanakuja kujua jamaa ni konda stand ya mkoa.Dada yangu hoi, ikawa hamna jinsi ikabidi akubali tu aolewe nae.

Saa nyingine dada zangu tamaa zao za fedha zinatufanya tuwe wasanii.
 
Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima [emoji28][emoji28][emoji28]hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
Ila ajiandae kula na Wanaume wenzie...! na pia akubali pia kunyimwa mara zingine na apewe mwingine
 
Na wewe msukuma


[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]


Unyelile
 
Dah nimesikitika Sana as if nimeombwa mimi hawa wanawake sijui wanashida gani
 
Pole kiongozi, ila wanawake huendekeza sana dhiki na kukomoana.
Jana nimekutana na mama mmoja. Single mother. Basi nikamtupia mawili matatu. Akasema ana haraka nimpe namba ya simu. Nikajua mambo safi.

Usiku saa 2.30 hivi mara text. Nani? Ni mimi uliyenipa namba mahali fulani.

Story zikaendelea. Leo ananiambia kabla hajavua pichu nimpe laki 3.

Jinga na nusu wewe, laki tatu inakisha familia yangu mwezi mzima.

Nimem block.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawa wanawake embu wawe siriaz na hii laifu aisee
 
Aise usinikumbishe majanga yangu ya laki tatu....mwanamke mshezi kweli yule[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Alafu hawa warembo wanadhani pesa tunachuma tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…